Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

ha ha ha!bora kutokuwa mshabiki wa mwanasiasa.watu wa kanda ya kaskazin kwa ujiko,hatar!mwaka huu lowasa akishndwa mtajinyonga..!
 
Nilifikiria watakuw na sera za pamoja watakazonadi kama washirika?
 
Wewe muulize wale mafisadi wa escrow waliowapitisha kugombea ubunge kina chenge ngeleja na tibaijuka wana uadilifu gani?
Right, I mean that is a very poignant question they have to answer, manake standard iliyowekwa na chama ni kwamba shutuma zilizozagaa zinazokuandama za ufisadi zinatosha kukukata. That was the linchpin of the process for killing Lowassa's candidacy. Okay, sawa, punguani ndio atabisha Lowassa ana shutuma.

Chenge na Tibaijuka na Ngeleja watakatwa? Kwa sababu hakuna mtu mwenye tuhuma nzito nchi hii kama Chenge na Tibaijuka. Lowassa amebisha hakuiba, na hatukumkamata na virumbesa vya pesa. Chenge na Tibaijuka wamekiri wenyewe kwamba hela za Escrow, Radar, n.k. wamekula, wamesema wamenunulia mboga, wamesema hawajali kwa sababu kwao hizi pesa za kitanzania hizi ni vijisenti, wamesema wao wenyewe! Tuhuma nzito. Watakatwa? JK, Nape, Kinana, jibuni!
 
Msg delivered.
Hamis Mgeja ametoa kali kwa maccm kwamba wao na Pombe yao mwisho wao ni kaunta, si kutembeza pombe mtaani nimeipenda..
 
Ilikuwa Iwe Hivyo Maana Lenye Mwanzo Halikosiga Kuwa Na Mwisho. La Maana CCM Ni Kukubaliana Na Khali Halisi bila

Kuleta Ung'ang'anizi.
 
Nauliza mbona kila anayejiunga ni Chadema tuu, Walal hatusikii anayejiunga CUF,NCCR au hiko ka chama kasikojulikana. MBOWE aufanya ukawa mali ya CHADEMA
 
Khe khe khe khe khe! Khe! Khe! Khe! Khe! Khe! Khe! Khe! Khe![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…