James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
ha ha ha!bora kutokuwa mshabiki wa mwanasiasa.watu wa kanda ya kaskazin kwa ujiko,hatar!mwaka huu lowasa akishndwa mtajinyonga..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifikiria watakuw na sera za pamoja watakazonadi kama washirika?Mkuu hapa suala siyo Richmond bali ni kunadi sera na ilani za vyama. Mgombea wa CHADEMA ataweza kweli kusimama na kunadi sera za CHADEMA? Anazifahamu? Au atakuwa ananadi za CCM wakati mgombea mwenza ananadi za CUF! Watu watachanganyikiwa na Magufuli anaingia Ikulu akiwa na CCM iliyotakasika!
Right, I mean that is a very poignant question they have to answer, manake standard iliyowekwa na chama ni kwamba shutuma zilizozagaa zinazokuandama za ufisadi zinatosha kukukata. That was the linchpin of the process for killing Lowassa's candidacy. Okay, sawa, punguani ndio atabisha Lowassa ana shutuma.Wewe muulize wale mafisadi wa escrow waliowapitisha kugombea ubunge kina chenge ngeleja na tibaijuka wana uadilifu gani?
hahahaaa... sasa chadema inaku@CCM B..
Sasa itv wamtangaze Magufuli tbc itafanya kazi gani??? Nape bana!!
Hakuna lolote huyo jambazi hawezi kuwa rais. You will come and tell me, I am old enough to know that EL will never govern this country whether you like it or not.
Nifah,Diva beyonce sijakuoneni leooo
Khe khe khe khe khe! Khe! Khe! Khe! Khe! Khe! Khe! Khe! Khe![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I am Wacha1, you don't know? Ati CCM imechokwa kwani jina ndio tatizo. Huyu Mwizi wa mchana kweupe katoka CCM miaka yote amekuwa mwizi mkubwa kwenye mashirika ya umma na sasa ndio aliweza kujiingiza kwenye shirika la simu na kudhoofisha TTCL leo ndio mnamuona kama mfalme wenu pathetic, what type of people are you. You act like docile donkey.