UPDATES: Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kuepusha Mauaji ya Raia katika eneo la Gaza

Ndio kama hivyo, kichapo kiko pale pale....
Wasema Israel iepuke genocide na kuongeza umakini....

The International Court of Justice issues a series of provisional measures against Israel on the basis that the rights of the Palestinians not to be subject to genocide must be protected before the court can make a final ruling on the merits of the case.

The court says that Israel must “take all measures in its power” to prevent the commission of genocidal acts against the Palestinians as laid out in Article 2 of the Genocide Convention.
 
Uamuzi unaitaka Israel kuwa waangalifu na kuhakikisha hakuna kuua, kuumiza raia; kuhakikisha hakuna kuharibu mali na misaada ya kibinadamu inapatikana bila vikwazo

Kesi ya nyani unampelekea ngedere unategemea nini

Maisha ya ulimwengu huu watu watafanya watakavyo utake usitake!
 
Ndio kama hivyo, kichapo kiko pale pale....
Wasema Israel iepuke genocide na kuongeza umakini....

The International Court of Justice issues a series of provisional measures against Israel on the basis that the rights of the Palestinians not to be subject to genocide must be protected before the court can make a final ruling on the merits of the case.

The court says that Israel must “take all measures in its power” to prevent the commission of genocidal acts against the Palestinians as laid out in Article 2 of the Genocide Convention.

Mahakama inadharauliwa na mtuhumiwa ila aisee mayahudi yameshindikana ila leo waarabu wamefurahi wenyewe maana wameona muujiza mkubwa wa allah

A former adviser to late Israeli President Shimon Peres has called the ICJ a “kangaroo court” and said it is a “joke” that South Africa has even brought up the case.

“Who cares? Literally who cares what the ICJ says?” Mitchell Barak, CEO of Israel-based Keevoon Global Research, told Al Jazeera in response to a question on the impact of a potential disfavourable ruling for Israel and Benjamin Netanyahu.

“I’m not going to get concerned about it. At the end of the day, we have to defend our country, we have to get our hostages back. And it’s really not going to matter, it’s just not going to matter,” he said.

“South Africa has their own internal problems. They have an election coming up, so they figure that instead of dealing with issues like crime and poverty in South Africa, ‘let’s call out attention and be the international champion of Hamas and the Palestinians’.”
 
Hapo hakuna hukumu, kuna kubembeleza na kuchombeza. Hizo mahakama zipo dhidi ya waafrika tu!
 
Hiyo mahakama na yenyewe ni 🚮 tu. Maana siku zote imejaa double standard, na pia inaendeshwa kisiasa.

Kosa akifanya Marekani na washirika wake, mara zote linachukuliwa kama siyo kosa. Ila wakifanya wengine, eti ndiyo kosa.
 
Mahakama inadharauliwa na mtuhumiwa ila aisee mayahudi yameshindikana ila leo waarabu wamefurahi wenyewe maana wameona muujiza mkubwa wa allah

A former adviser to late Israeli President Shimon Peres has called the ICJ a “kangaroo court” and said it is a “joke” that South Africa has even brought up the case.

“Who cares? Literally who cares what the ICJ says?” Mitchell Barak, CEO of Israel-based Keevoon Global Research, told Al Jazeera in response to a question on the impact of a potential disfavourable ruling for Israel and Benjamin Netanyahu.

“I’m not going to get concerned about it. At the end of the day, we have to defend our country, we have to get our hostages back. And it’s really not going to matter, it’s just not going to matter,” he said.

“South Africa has their own internal problems. They have an election coming up, so they figure that instead of dealing with issues like crime and poverty in South Africa, ‘let’s call out attention and be the international champion of Hamas and the Palestinians’.”

Wayahudi wana kila sababu za kujilinda dhidi ya mazombi ya kidini yanayoamini kwamba yameamrishwa yafute jamii ya Wayahudi, hivyo hata mahakama ingeamrisha vinginevyo bado wangekiuka, maana wakilegea tu ndio basi wanafutwa.
 
Mkuu, hebu twende taratibu. Unapojilinda au kumtafuta adui aliyekuprovoke ndio unaua CIVILIANS AND DESTROYING THEIR CIVIL INFRASTRUCTURES? Unajua namna PROFESSIONAL ARMY inavyopaswa kubehave kwenye Special Military Operations? Nisaidie pia, Kwanini Israel inakataa TWO STATE SOLUTION iliyotolewa hivi karibuni hata na Mfadhili wake Mkuu i.e US?
 
Upotezaji wa rasilimali tu. Hiyo hukumu ina msaada gani tangible? Kweli ni "Kangaroo court"
 
😂😂😂😂wasauzi za gaza wamepaushwa daah
 
Mkuu, hebu twende taratibu. Unapojilinda au kumtafuta adui aliyekuprovoke ndio unaua CIVILIANS AND DESTROYING THEIR CIVIL INFRASTRUCTURES? Unajua namna PROFESSIONAL ARMY inavyopaswa kubehave kwenye Special Military Operations? Nisaidie pia, Kwanini Israel inakataa TWO STATE SOLUTION iliyotolewa hivi karibuni hata na Mfadhili wake Mkuu i.e US?

Adui anajificha ndani ya watoto na akina mama, anafyatua maroketi akiwa ndani ya makambi ya wakimbizi, aisei namfyatua tu, yaani ahata Israel wamejaribu sana kujidhibiti, ingekua mataifa yasiyojali kama vile Warusi au Wachina, hiyo Gaza ingekua mavumbi.
 
Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu ameupongeza uamuzi wa mahakama ya ICJ, ambao umeitaka tu Israel kujitahidi kuwakinga raia na vifo wakati ikiendelea na vita yake dhidi ya magaidi wa Hamas.

Tofauti na ombi la Afrika Kusini la kuitaka mahakama hiyo kutoa amri kuitaka Israel isitishe vita, mahakama hiyo imeishia tu kuiambia Israel ijitahidi kufanya jitihada zote zilizo ndani ya uwezo wake kuzuia vifo vya raia ili kuzuia uwezekano wa kutenda makosa yanayoweza kuangukia kwenye genocide. Hii ina maana mpaka sasa, hakuna genocide.

Kwa maoni yangu, hukumu hii imekaa kisiasa zaidi kuwafariji South Afrika na washirika wake kuliko kuleta mabadiliko kwenye mwenendo wa vita inayoendelea. Hukumu hii haitegemewi kuleta mabadiliko yoyote kwenye vita. Unaposema nchi itumie jitihada zake zote zilizo ndani ya uwezo wake, hakuna kupimo cha kujua zimetumika jitihada zote zilizo ndani ya uwezo. Na wala hakuna kipimo cha kueleza jitihada hizo zikitumika zitasababisha vifo au kuzuia vifo vya raia wangapi.

Kimsingi, kama ilivyotarajiwa, Afrika Kusini, kwa hukumu hii, haijafanikiwa kupata ilichokuwa ikikitaka, yaani kusitisha vita.

Netanyahu hails ICJ ruling as rejection of "discrimination" against Israel.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu on Friday hailed the preliminary International Court of Justice ruling on South Africa's accusation of genocide as a rejection of discrimination against his country.

“Like every country, Israel has an inherent right to defend itself,” he said in a short video message.

“The vile attempt to deny Israel this fundamental right is blatant discrimination against the Jewish state, and it was justly rejected.”

ICJ says Israel must take "all measures within its power" to prevent genocide in Gaza

The UN’s top court has ordered Israel to act immediately to prevent genocide in Gaza, but stopped short of calling for a ceasefire in the war-torn enclave.

The International Court of Justice said Israel must take “all measures” to “ensure with immediate effect that its military does not commit any acts” which could fall foul of the Genocide Convention.

In a preliminary ruling on the accusation of genocide brought by South Africa, the court’s 17-judge panel on Friday issued six such measures, ordering Israel to take steps to limit the death and destruction caused by its military campaign, as well as to prevent and punish incitement to genocide, and to ensure the provision of humanitarian aid to Gaza.

Na ifahamike kuwa mahakama hii ya ICJ siyo kama ile ICC, hii haina meno. Unaweza usitekeleze chochote kile, na hakuna kitakachotokea. Ni mahakama ya kisiasa.

Note:

The ICJ court’s decisions are binding and cannot be appealed, but it has no way of enforcing them.
 
Adui anajificha ndani ya watoto na akina mama, anafyatua maroketi akiwa ndani ya makambi ya wakimbizi, aisei namfyatua tu, yaani ahata Israel wamejaribu sana kujidhibiti, ingekua mataifa yasiyojali kama vile Warusi au Wachina, hiyo Gaza ingekua mavumbi.
Huna ruhusa ya kupiga ambulance mskikit , kanisa shule kwa sababu za kijinga kama hizo
 
Magaidi ya hamas na palestina wote waendelee kupelekewa makombora mpaka waondoke katika ardhi ya Israel.
 
Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu ameupongeza uamuzi wa mahakama ya ICJ, ambao umeitaka tu Israel kujitahidi kuwakinga raia na vifo wakati ikiendelea na vita yake dhidi ya magaidi wa Hamas.

Tofauti na ombi la Afrika Kusini la kuitaka mahakama hiyo kutoa amri kuitaka Israel isitishe vita, mahakama hiyo imeishia tu kuiambia Israel ijitahidi kufanya jitihada zote zilizo ndani ya uwezo wake kuzuia vifo vya raia ili kuzuia uwezekano wa kutenda makosa yanayoweza kuangukia kwenye genocide. Hii ina maana mpaka sasa, hakuna genocide.

Kwa maoni yangu, hukumu hii imekaa kisiasa zaidi kuwafariji South Afrika na washirika wake kuleta kuleta mabadiliko kwenye mwenendo wa vita. Hukumu hii haitegemewi kuleta mabadiliko yoyote kwenye vita. Unaposema nchi itumie jitihada zake zote zilizo ndani ya uwezo wake, hakuna kupimo cha kujua zimetumika jitihada zote zilizo ndani ya uwezo. Na wala hakuna kipimo cha kueleza jitihada hizo zikitumika zitasababisha vifo au kuzuia vifo vya raia wangapi.

Kimsingi, kama ilivyotarajiwa, Afrika Kusini, kwa hukumu hii, haijafanikiwa kupata ilichokuwa ikikitaka, yaani kusitisha vita.

Netanyahu hails ICJ ruling as rejection of "discrimination" against Israel.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu on Friday hailed the preliminary International Court of Justice ruling on South Africa's accusation of genocide as a rejection of discrimination against his country.

“Like every country, Israel has an inherent right to defend itself,” he said in a short video message.

“The vile attempt to deny Israel this fundamental right is blatant discrimination against the Jewish state, and it was justly rejected.”

ICJ says Israel must take "all measures within its power" to prevent genocide in Gaza

The UN’s top court has ordered Israel to act immediately to prevent genocide in Gaza, but stopped short of calling for a ceasefire in the war-torn enclave.

The International Court of Justice said Israel must take “all measures” to “ensure with immediate effect that its military does not commit any acts” which could fall foul of the Genocide Convention.

In a preliminary ruling on the accusation of genocide brought by South Africa, the court’s 17-judge panel on Friday issued six such measures, ordering Israel to take steps to limit the death and destruction caused by its military campaign, as well as to prevent and punish incitement to genocide, and to ensure the provision of humanitarian aid to Gaza.

Na ifahamike kuwa mahakama hii ya ICJ siyo kama ile ICC, hii haina meno. Unaweza usitekeleze chochote kile, na hakuna kitakachotokea. Ni mahakama ya kisiasa.

Note:

The ICJ court’s decisions are binding and cannot be appealed, but it has no way of enforcing them.
Yani wewe kabisa ulikuwa unaamini kuna Mahakama yenye jeuri ya kuingilia oparesheni za Israel kuteketeza masalia ya magaidi?
 
Back
Top Bottom