Kwa kuwa umetanguliza ujinga na upumbavu nakupuuzaNiumasikini wako tu kuona laki nipesa ndefu kwenye suala la burudani, kuwaona tu malegend on stage inatosha kulipia pesa mingi huko mbele wanalipa madollar mengi tu kwajambo kama hili
Itoshe kusema wewe nidebe tupuKwa kuwa umetanguliza ujinga na upumbavu nakupuuza
Jirani yako Ilala 😊Kumbe na wewe umegundua! Namuombea kheri
Jirani yangu kweli, umejuajeJirani yako Ilala 😊
Kavideo watu walipozomea,wakati yeye na hamadi wanamtuliza mzomewaji movement za tale nami zilinishtua!Huyu Babu Tale mbona anaongea kama punga
Yukogo hivyo siku zote Temba na toothpick yake mdomoniTemba nae anaimba na tooth pick mdomoni 🚮🚮
Mwamba yuko ivo siku zote hata kama katokea kwenye video haimbi ila ana toothpick yake mdomoniTemba ana mkataba na stick?
Jamaa muda wote stick ipo mdomoni
Makusanyiko ya CCM ni halali. Yakikusanywa na CHADEMA ndipo yanakuwa haramuKwahiyo hayo makusanyiko ni halali na hakuna tishio la ugaidi si ndiyo?
D knob ameokoka siku hataki tena hizi mamboWapi D Knob? mwamba wa kijiwe Samli Kiwalani.
Mtaani Most Wanted. 😎
-Kaveli-
Doro,KR na nature kundi lao liliitwa wachuja nafaka,Hiyo ya Doro ndio yupo pia KR
Kumbuka Doro, KR na Nature walikuwa wana kundi lao linaitwa GWM
Naona hii chuma bado iko liveAiseeh watu wamechoka kusikia mamb ya serikali, wamekuwa mbogo baada ya naibu waziri kuanza kueleza mambo ya serikali 😃😃
Kuna wasanii hawajaimba chochote zaidi ya kusema tu piga makofii sisikii keleleHili tamasha lina tofauti gani na bongo flava honors ya Sugu?
Huu naona ni mkusanyiko wa wasanii kuonjesha kazi zao za zamani tu bila mpangilio maalum. I'd prefer bongo flava honors to this.
Wewe Nature hakuwahi kuwa GWM alikuwa Wachuja nafaka, Na Dollo pia hakuwahi kuwa hilo kundi. GWM ni kundi la watu KR na jamaa yake aliyeimba naye kamua. Nature alishirikishwaHiyo ya Doro ndio yupo pia KR
Kumbuka Doro, KR na Nature walikuwa wana kundi lao linaitwa GWM
TID alisema hafanyi show local,eti anataka aitwe pekeyakeKwahiyo T.I.D na Pasha hawakutokea kabisa?.