Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Miaka ya nyuma niliwahi iyona picha huyu mama yuko na kijana mmoja wanamwita saydavito,hivi aliwahi kuwa karibu kiurafiki na huyo kijana ?
 
Naona alimshtukia benten wa mwisho maana kijana alitoa shart ajengewe kwanza kwao ili ndoa ifanyikie pazuri dida alipakarabati ila ikatokea migongano na mambo yakaishia hapo.
Dida yeye alikuwa analea tu Wana viben ten venyewe haviridhiki, na Tena Toka aachane na kuolewa hovyo sikuhizi amekuwa happy no stress. Ukiona ndoa ya kwanza ilikushinda achana na nyingine, wewe jitaftie kipoozeo tu Cha ashiki basi
 
Naona alimshtukia benten wa mwisho maana kijana alitoa shart ajengewe kwanza kwao ili ndoa ifanyikie pazuri dida alipakarabati ila ikatokea migongano na mambo yakaishia hapo.
Aisee kwani lazima waolewe, maana wanaume wa sikuhizi wanapenda kitonga wako radhi waolewe hata na Bibi mwenye mkongojo.
Huyo dida Hana nyota ya ndoa atulie tu kwa kweli au ndo hutaka ndoa kuwakata waja na maneno yao
 
Ukikaa na kampani flan utaona ndoa ni lazima angalia familia ya mond wanavyofosi ndoa. Khadija kopa na umri ule bado anatamani ndoa.

Kuitwa Mrs flan raha sana kwa baadhi ya wanawake na kuvaa mipete mikubwa hata kama ndani hamna amani

Nadhani majority ya wapenda ndoa na shughuli ni watu waliokulia uswahili, wanatumia nguvu nyingi kwa shughuli Mara sare, hebu mwangalie esma platnumz hyo ndoa ya tatu kajitutumua ka futu, Tena kaolewa mke wa tatu, Yani wao huwaza sherehe Ila kutunza ndoa zao hawawezi. Huyo Khadija kopa aliolewaga na kiben ten sema alishafariki, huyo esma ana watoto wakubwa daily kubadilisha wanaume, hivi anawafundisha Nini wale wanawe wa kike maana wakikua wataona tu sawa.
Hizi familia za kiswahili shida sana
 
Uko sahihi hasa hapo pakupata mwezi mnayeelewana frequency a.k.a chemistry zenu zinaendana unatulia
True.... Unajua watu wengi huwa wanapuuza frequency wanakwenda na Vibe au swaga... Of which is wrong. Mara nyingi mtu ambaye una run naye katika same frequency huwa hamuwezi kumalizana na huwa mnakuwa na ile ajenda isiyoisha so every time huwa mnataka kuendelea mlipoishia mara ya mwisho.

Kimsingi frequency inakusaidia kubond na anaekwenda nawe level moja haijalishi katoka familia, koo, kabila, au kuonekano wake upoje namna watu wanamcompare.

By the way mimi na air katika very high n strong frequency. Clever conversation light up my head.
 
Ikogo hivyo kabisa..mwanamkelazima atamzidi akili
 
Harusi za hivyo zinaitwa tuwakomeshee. Kama wanashindana na watu hivi

Kwa esma namhurumia yule binti mdogo tangia sendoff iliyopewa jina la maulid bint hakua na raha hadi kwenye sherehe ya harusi. Yule mkubwa keshazoea kubadilishiwa kila kukicha.

Ila nimeshangaa harusi za kiislamu siku hizi zina kash kashi,madoido sherehe kama zote.
 
Dida yeye alikuwa analea tu Wana viben ten venyewe haviridhiki, na Tena Toka aachane na kuolewa hovyo sikuhizi amekuwa happy no stress. Ukiona ndoa ya kwanza ilikushinda achana na nyingine, wewe jitaftie kipoozeo tu Cha ashiki basi
Hivi huwa watu wanaosema hawana stress yet wapo busy kuonyesha hawana stress huwa mnawaamini....?!

Aisee kuna watu wakinambia hawana stress nawaelewa but kuna sampuli fulani zinapambana na msongo wa mawazo ila huwezi jua hadi uwe na jicho la tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…