Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Hahaaa Ni mwendo wa tit for tat ngoma droo, Ila mwanamke kuishi na kiben ten tabu, maana hakina upendo kimefata masilahi hapo katarudi kwa kijana mwenziwe, ndoa za mabinti wadogo na wazee ni rahisi kudumu kuliko za shuga Mami na kiben ten
Hahahah lazma wivu utawatenganisha tu. Chalii akipata kimanzi kibichi anahamishia hela huko wanajijenga. Kudumu ni ngumu aisee 😂😂😂
 
Ila wanawake mabonge huwa insecure wanapenda kulea vijana wadogo na kuwahudumia sijui ili iweje
Siku ukiwa bonge na out of shape utaelewa tu 😂😂😂!!!

Bi.mkubwa anajionea tabu tu havutii lazma atumie pesa.
 
Siku ukiwa bonge na out of shape utaelewa tu [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Bi.mkubwa anajionea tabu tu havutii lazma atumie pesa.
Siwezi kuruhusu ninenepa na hata ikitokea kwa sababu ya kuzaa na najikubali tu nilivo mpenda hela nimpe mtu hela anipende Bora nibaki tu na hela yangu.
Ila ubonge wa wengi husababishwa na bia, kitimoto na nyama, na wengi hawafanyi mazoezi
 
Hahahah lazma wivu utawatenganisha tu. Chalii akipata kimanzi kibichi anahamishia hela huko wanajijenga. Kudumu ni ngumu aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni tabu maana shuga Mami ndo anapenda full wivu na wewe, hafu vile mdogo anakuwa anamupelekesha ka mwanawe.
Hafu chalii akipata demu mupya anaiba number na kuanza kumsumbua sugar mummy na kumrusha roho.
 
Of course ndio maana wanasema kazi ya mwanamke kwa mwanaume sio kumlea ni kumsaidia kusimama na kuamsha potential zake....

Sasa hawa wanawake wa aina hii unakuta anataka kumiliki huyu mwanaume kwa kununua uhuru wake na muda wake.

Atampa usafiri na sehemu ya kuishi kisha atamwambia ukithubutu kuniacha nakunyang'anya. Anampangia pa kwenda, akijiskia anakagua simu yake yaani ni full kumtreat kama mtoto hapo ndipo bwana mdogo anaona ngoja nitafute binti mdogo ambae nitaweza muweka katika himaya yangu mimi.
Kumsaidia mwanaume majukumu nikumulemaza lazima akuchoke maana inakuwa umempoka mamlaka yake ya kutafta kwa jasho.
Na wengi wapenda viben ten ili wavipelekeshe na kwa vile Hana kipato kwanini umtake kumumiliki lakini?
 
Ni tabu maana shuga Mami ndo anapenda full wivu na wewe, hafu vile mdogo anakuwa anamupelekesha ka mwanawe.
Hafu chalii akipata demu mupya anaiba number na kuanza kumsumbua sugar mummy na kumrusha roho.
Lazma kitawaka tu, maana ile ndoa ime base kwenye kumkomoa mtu flani.😂😂😂

Sawa na Shishi alivyotaka kumkomoa Nuhu ila still hakuwa happy na Uchewise
 
Siwezi kuruhusu ninenepa na hata ikitokea kwa sababu ya kuzaa na najikubali tu nilivo mpenda hela nimpe mtu hela anipende Bora nibaki tu na hela yangu.
Ila ubonge wa wengi husababishwa na bia, kitimoto na nyama, na wengi hawafanyi mazoezi
Hahaha kwani ni wewe unaruhusu au ulimi wako ndio unaruhusu 😂😂😂 we utashangaa tu umekuwa kabati.
 
Naona leo kamati kuu ya umbea ipo kwenye kikao kujadili masuala ya umbea kwa ujumla wake wajumbe wanaonesha viwango vya juu kabisa ktk uchambuzi juu ya umbea.

Binafsi nawatakia mjadala mwema.
 
Lazma kitawaka tu, maana ile ndoa ime base kwenye kumkomoa mtu flani.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sawa na Shishi alivyotaka kumkomoa Nuhu ila still hakuwa happy na Uchewise
Ndio maana uki break up jipe mda maumivu yapoe ndo uanze upya maana ushajitafakari weaknesses zao na utajirekebisha mahusiano yajayo.
Sasa unakuwa na mtu huku moyoni una maumivu hata wakati wa ku do unamuwaza aliye kuumiza si ndo kujiua kabisa
 
Umeongea ukweli kabsa mabeste na mkewe kila mtu aliwatamani kumbe ndani kunawaka moto hii mitandao inaathiri mahusiano ya watu wengi mno
Ukiona mtu anapost sana mwenzake mtandaoni especially wanawake(rejea history ya mabeste na mkewe) utagundua kuwa ndani wanakuwa wanapitia magumu ila wanafanya vile kama namna ya kujifariji au kujenga picha kuwa wana amani.

Sababu kwa watu wenye mahusiano yenye afya huwa ni kupoteza muda sana kushinda kwenye social media kutafuta likes za privacy yenu.....
 
Sijui unaanzaje anzaje kumtongoza mmama kama huyu,yaani ukauzu huo mimi sina kabisa.

Ila wamama wa siku hizi wanakutongoza wenyewe.
simpo sana kuwapata hawa mpaka unamvua pichu huamini......unateleza tu kama ganda la ndizi
 
Back
Top Bottom