Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Ndio alikuwaga boyfriend wake na punda wake

Unaniambia shkuba ndo kazaa yule mtoto wa resty? Jamaa si ana asili ya pemba hv raisi wa magomeni yule ila kweli madon wa nyeupe wengi walijenga mijengo mbezi beach japo ma apartment wanayo magomeni na sinza madukani.
 
Mie hata wiki moja siwezi ishi naye! Hakawii kuwa anasikiza tu bongofleva na matamthilia ya sultan sijui kara sevda sijui[emoji38][emoji38]!
Basi tu imekuwa trend ya kijinga Sana...wewe umri Kama wa huyu dada unahamu gani Tena kuishi na mwanamume mwingine? Unawaonesha Nini wanao? Si ana binti kbs huyu? Unashindwaje kukaa na wanao ukawalea tu? Kama ni Mahusiano yako yawe ya Siri sirini! Eti unaachika unaenda kuolewa Tena oyeee[emoji1784][emoji1784][emoji1784]!tena unaolewa na bongofleva..hutaacha ona rangi zote
Si kila mtu anapenda kuzini madame
 
Upendo ukiacha udada wa mjini tangu enzi hizo(misigara,mipombe mikali na makorokoro yote)anajielewa vyema tu na namkubali vibaya mno...Mmungu amfanyie wepesi kwa kila jambo na amuondolee yenye shari na yeye.Tukiona ndoa inavunjika tujifunze kutonyoosha vidole.
Ukipofu huo, ni mwanamke gani alifanikiwa kwa kuolewa na KiBen10? Angekuwa anajielewa asingeolewa na kiBen10.
 
Unaniambia shkuba ndo kazaa yule mtoto wa resty? Jamaa si ana asili ya pemba hv raisi wa magomeni yule ila kweli madon wa nyeupe wengi walijenga mijengo mbezi beach japo ma apartment wanayo magomeni na sinza madukani.
Huyo mtoto wa resty kazaa na mkuria mmoja hivi ndo mwenye Ile nyumba waliyopanga wasafi sio huyo shkuba
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mdau aliuliza kama rest kajenga mwenyewe ,akidhan katokea ushuan kama mama ntilie wa kishua.

Mwenye nyumba kuichukua muhimu ujenge kisha jamaa mwingine aoe afaidi kodi haiwezekan
Mbona hyo nyumba imechukuliwa na baba mtoto baada ya kutoka jela alipokuwa kifungoni kwa tuhuma za dawa
 
Mdau aliuliza kama rest kajenga mwenyewe ,akidhan katokea ushuan kama mama ntilie wa kishua.

Mwenye nyumba kuichukua muhimu ujenge kisha jamaa mwingine aoe afaidi kodi haiwezekan
Resty bado hajajenga kapanga ndo alikuwa kwa process, hafu sikuhizi sio kaacha umama ntilie?
Baba watoto alipoona resty kaolewa na mwanaume mwingine akamyang'anya resty vitu, Ila naye ana kawivu kabaya
 
Back
Top Bottom