cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hyo nyumba ya waliopanga WCB, mwenyewe alishaichukua na ninaskia alishaiuza so hapo kuuza I'm not sureKwaiyo wachafu wcb wanamlipa kodi nani kati ya hao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo nyumba ya waliopanga WCB, mwenyewe alishaichukua na ninaskia alishaiuza so hapo kuuza I'm not sureKwaiyo wachafu wcb wanamlipa kodi nani kati ya hao?
Ndio alikuwaga boyfriend wake na punda wakeShkuba yuko jela marekani alikamatwa magomeni kwa kuuza nyeupe.
Wanadanganyia watu kuwa imewatoa kumbe mhhhh iga ufeHii imenishangaza Sana dah...kumbe zile biashara bado zimetamalaki tu
Ngada..khaWanadanganyia watu kuwa imewatoa kumbe mhhhh iga ufe
Open kitchen ni mzuri? Au ndio mambo ya pesaVipi huyo kijana ametoa Jogooo kung'oa mshangazi...?
Ila wakuu namuonea Donge huyo chalii kulimiliki jimama kama hili lenye fedha afu zuri burudani sana hapo mwendo wa kutembeza Mtinyama tu.
#Dah kweli ukiwa na njaa unawaz ngono tu [emoji125][emoji125][emoji125]
Nilitaka kuask Jana nikajua macho yangu yamekata Moto!Open kitchen ni mzuri? Au ndio mambo ya pesa
Ndio alikuwaga boyfriend wake na punda wake
Si kila mtu anapenda kuzini madameMie hata wiki moja siwezi ishi naye! Hakawii kuwa anasikiza tu bongofleva na matamthilia ya sultan sijui kara sevda sijui[emoji38][emoji38]!
Basi tu imekuwa trend ya kijinga Sana...wewe umri Kama wa huyu dada unahamu gani Tena kuishi na mwanamume mwingine? Unawaonesha Nini wanao? Si ana binti kbs huyu? Unashindwaje kukaa na wanao ukawalea tu? Kama ni Mahusiano yako yawe ya Siri sirini! Eti unaachika unaenda kuolewa Tena oyeee[emoji1784][emoji1784][emoji1784]!tena unaolewa na bongofleva..hutaacha ona rangi zote
KweliSi kila mtu anapenda kuzini madame
Alikuwa mzuri jana?Nilitaka kuask Jana nikajua macho yangu yamekata Moto!
Ukipofu huo, ni mwanamke gani alifanikiwa kwa kuolewa na KiBen10? Angekuwa anajielewa asingeolewa na kiBen10.Upendo ukiacha udada wa mjini tangu enzi hizo(misigara,mipombe mikali na makorokoro yote)anajielewa vyema tu na namkubali vibaya mno...Mmungu amfanyie wepesi kwa kila jambo na amuondolee yenye shari na yeye.Tukiona ndoa inavunjika tujifunze kutonyoosha vidole.
Huyo mtoto wa resty kazaa na mkuria mmoja hivi ndo mwenye Ile nyumba waliyopanga wasafi sio huyo shkubaUnaniambia shkuba ndo kazaa yule mtoto wa resty? Jamaa si ana asili ya pemba hv raisi wa magomeni yule ila kweli madon wa nyeupe wengi walijenga mijengo mbezi beach japo ma apartment wanayo magomeni na sinza madukani.
cariha mpe mfano wa Zari, kuzaa siyo warrant ya kuwa bongeUmezaa? Kama haujazaa, usitukane mamba
Hii imenishangaza Sana dah...kumbe zile biashara bado zimetamalaki tu
Open kitchen ni mzuri? Au ndio mambo ya pesa
Mbona hyo nyumba imechukuliwa na baba mtoto baada ya kutoka jela alipokuwa kifungoni kwa tuhuma za dawa
Itakuwa labdaItakua kaona picha za harusi akiwa na makeup macho yamekolezwa kungumanga
Huyu aliishia wapi na Niva super Mariooo?
Resty bado hajajenga kapanga ndo alikuwa kwa process, hafu sikuhizi sio kaacha umama ntilie?Mdau aliuliza kama rest kajenga mwenyewe ,akidhan katokea ushuan kama mama ntilie wa kishua.
Mwenye nyumba kuichukua muhimu ujenge kisha jamaa mwingine aoe afaidi kodi haiwezekan