Upepo wa Makonda umekata mapema sana

Upepo wa Makonda umekata mapema sana

Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Ni kama a 'wounded buffalo', siyo?
 
Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Si tu kwamba haijui philosophy ya chama cha mapinduuzi. Yeye pia sio uzao wa chama aliingia humo kama njia ya kujitafuta . Makonda haijui ccm wala hajawahi kuiishi itikadi yake?
 
Naunga mkono hoja
 
Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
😅😅😅
 
Sakata la Chongolo,

Sakata la Gekul,

Kubwa zaidi ni majanga ya Hanang,

Yamefanya tumsahau kwa muda ila soon, Makonda on air kama kawaida.
 
Back
Top Bottom