Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #121
😁😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Hivi hao wanao tembea na punda kumsindikiza Bashite na mkokoteni sijui wanajisikiaje saa hizi. Ujinga mtupu
Ni kama a 'wounded buffalo', siyo?Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Ni vilazaHivi hao wanao tembea na punda kumsindikiza Bashite na mkokoteni sijui wanajisikiaje saa hizi. Ujinga mtupu
Si tu kwamba haijui philosophy ya chama cha mapinduuzi. Yeye pia sio uzao wa chama aliingia humo kama njia ya kujitafuta . Makonda haijui ccm wala hajawahi kuiishi itikadi yake?Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Naunga mkono hojaSi tu kwamba haijui philosophy ya chama cha mapinduuzi. Yeye pia sio uzao wa chama aliingia humo kama njia ya kujitafuta . Makonda haijui ccm wala hajawahi kuiishi itikadi yake?
😅😅😅Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
😂😂🤣🤣🤣😁
Makonda kashajiishia maana hkuna mtu wa kumpatia attentionNa ngoma ikivuma sana je ? [emoji2369][emoji2369]
Chid Benz aliwahi kunenaBashite ni yuleyule
Hata akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar hakuna project aliyoianzisha akafanikiwa kuimaliza
Wewe ni Bibi lea wajukuu...Jifariji
Hapo mwishoni umechemka mkuu. Makonda alianzisha na kusimamia project kibao na zikamalizika kwa mafanikio makubwa.Bashite ni yuleyule
Hata akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar hakuna project aliyoianzisha akafanikiwa kuimaliza
Naunga mkono hojaMakonda kashajiishia maana hkuna mtu wa kumpatia attention
Naunga mkono hojaKaambiwa aache kiheruheru 😑
alijisahau sanaTatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata