Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Bei ya kiserikali yaweza kuwa sahihiSasa mnabisha nini? Bati moja hapo 125,000
Mbao moja 65,000
Tofali moja 6,500
Dirisha moja 900,000
Rangi ndoo moja 450,000
saruji mfuko mmoja 85,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ya kiserikali yaweza kuwa sahihiSasa mnabisha nini? Bati moja hapo 125,000
Mbao moja 65,000
Tofali moja 6,500
Dirisha moja 900,000
Rangi ndoo moja 450,000
saruji mfuko mmoja 85,000
Waziri Kassim ametelezaWatu ambao hawajawahi kujenga ndio watashangaa mimi nikikiangalia hicho kibanda mbona pesa hiyo ni halali!.
JIfunze kuangalia quality kabla hatujakimbilia kupigia kelele wizi na ufisadi, ujenzi wa majengo yoyote ya umma unatanguliwa na BOQ.
- Kuchimba msingi vibarua 500,00
- Kujenga Msingi mawe zege 1,000,000
- Kuinua kuta 1,000,000
- Madirisha 3 ya PVC za Uturuki 3,000,000
- Milango miwili ya Mninga 1,000,00
- Bati ya South 1,000,000
- Tails za mable 1,000,000
- Scatting ya black granite 500,000
- Rangi ile washable 500,000
- Msimamizi 1,000,000
- 10% ya aliyetoa kazi 1,000,000 hapo kuna wizi gani?.
Kwa msio jua quality ya ujenzi, nendeni makaburi ya Kinondoni kuna kaburi pale limegharimu TZS 36.M!.
Mfano mimi natamani tomb stone yangu iwe kama ile ya ku roll, find out how much it costs, tusishabikie tuu ufisadi!.
P
Wewe utajenga kwa kutumia Kodi / Jasho la wananchi ambao hata milo miwili kwa siku tatu ni tatizo ?JIfunze kuangalia quality kabla hatujakimbilia kupigia kelele wizi na ufisadi, ujenzi wa majengo yoyote ya umma unatanguliwa na BOQ.
Kwa msio jua quality ya ujenzi, nendeni makaburi ya Kinondoni kuna kaburi pale limegharimu TZS 36.M!.
Mfano mimi natamani tomb stone yangu iwe kama ile ya ku roll, find out how much it costs, tusishabikie tuu ufisadi!.
P
Hata kama ni hivyo. Hicho kibanda ndiyo kigharimu Milioni 11?Kuna wakati ni vigumu sana kufananisha ujenzi kwa kutumia force account kuoka eneo moja na lingine.
Kuna baadhi ya maeneo wananchi wanajitolea nguvu kazi na kukusanya mchanga pamoja na mawe.Maeneo mengine kila kitu unanunua kuanzia mchanga.
Wengi wanaobisha hawajui ujenzi.Watakubishia mkuu wao wameona kwenye picha tu lkn hicho kibanda ukikifanyia tathmini vzr inaweza ifike gharama hiyo
Kitu kinaonekana lkn unaambiwa sijui kufanya uchunguzi,wa kazi gan kama sio kulindanauchunguzi tena wakati hata kwa macho kinaonekana, labda kama kuna handaki
Daah huku ni kutafuta sifa na kutrend.
Hicho kibanda ni cha serikali kingejengwa sh ngapi?
1. Posho za ma consultants
2. Site visiting za viongozi???
3. Milango 2 pamoja na finishing 700k
4. Tofali za serikali ni grade one
5. Cement ni grade one( 42.5 )
6. Bati na usafiri wake
7. Plasta
8. Rangi
9. Tiles
10. Malipo ya ufundi..khaa
Kama imepigwa ni 500,000
Takukuru itatumia kiasi gani kujilipa ufuatiliaji?. Hii ni kesi ya wizi wa kifaranga
Hapo hakuna tiles za Mable,hakuna scating ya Mable,hakuna pvc windows wala bati ya msouth. Hata kama unaunga juhudi sio hivi.Watu ambao hawajawahi kujenga ndio watashangaa mimi nikikiangalia hicho kibanda mbona pesa hiyo ni halali!.
JIfunze kuangalia quality kabla hatujakimbilia kupigia kelele wizi na ufisadi, ujenzi wa majengo yoyote ya umma unatanguliwa na BOQ.
- Kuchimba msingi vibarua 500,00
- Kujenga Msingi mawe zege 1,000,000
- Kuinua kuta 1,000,000
- Madirisha 3 ya PVC za Uturuki 3,000,000
- Milango miwili ya Mninga 1,000,00
- Bati ya South 1,000,000
- Tails za mable 1,000,000
- Scatting ya black granite 500,000
- Rangi ile washable 500,000
- Msimamizi 1,000,000
- 10% ya aliyetoa kazi 1,000,000 hapo kuna wizi gani?.
Kwa msio jua quality ya ujenzi, nendeni makaburi ya Kinondoni kuna kaburi pale limegharimu TZS 36.M!.
Mfano mimi natamani tomb stone yangu iwe kama ile ya ku roll, find out how much it costs, tusishabikie tuu ufisadi!.
P
Hapo weka na kunywa bia na nyama choma baada ya kikao,pia weka mafuta ya magari ya mabosi waliopo kwenye kikao.Kwa ujenzi wa kiserikali hiyo bei ni sahihi.
Kuna physibility study ya jengo kikao.
Kuna kunununa eneo kikao.
Kuna kupima udongo wa kiwanja kikao.
Kuna kumtafuta mkandarasi mshauri kikao.
Kuna kutangaza zabuni kikao.
Kuna kumchagua mzabuni kikao.
Vikao vyote vina posho.
Ikijumlisha na ujenzi imara wa hiyo ofisi hiyo gharama ni halari kabisa.
Aisee! I was sarcastic sijui wewe.Daah huku ni kutafuta sifa na kutrend.