sasa watavurugana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama chao,mitandao ya kusaka urais inaanza soon mwenyekiti hatakuwa na nguvu kuyadhibiti makundi ndani ya chama chake,daima upinzani upo upo tu hata ndani ya chama chake.Upinzani inabidi wasome alama za nyakati tu kwa sasa, hapa Tanzania hatuna upinzani wa ukweli ni kelele tu zisizo na tija. Mtu anakwenda bungeni kupiga kelele na kuleta bifu ili aandikwe mitandaoni lakini hana msaada wowote jimboni kwake, mfano Halima Mdee, Sugu, Zitto Kabwe, Lissu, na wapuuzi wengine. Tunataka upinzani wa ukweli hapa Tanzania.
Na watu tumekosa maarifa, japo ya kuzaliwa nayo kuweza kuyaona hayo!Mwenye kudhulumu, siku zote, hana mafanikio wala furaha ya kudumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli tupu.Upinzani inabidi wasome alama za nyakati tu kwa sasa, hapa Tanzania hatuna upinzani wa ukweli ni kelele tu zisizo na tija. Mtu anakwenda bungeni kupiga kelele na kuleta bifu ili aandikwe mitandaoni lakini hana msaada wowote jimboni kwake, mfano Halima Mdee, Sugu, Zitto Kabwe, Lissu, na wapuuzi wengine. Tunataka upinzani wa ukweli hapa Tanzania.
Mkuu tutegemee Nini katka tano tena? Tanzania kuwa Kama Ulaya au?Tano tena oyeeeeeeee
[emoji169] [emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Si vizuri kuwaandamamisha watu wakati mtawala atawaua.Waache walioshinda wafurahie ushindi wao kwa amani.muda wa watanzania kuandamana badoSi mlisema "sasa basi" ?? Iweje tena leo muogope maandamano?
Wasitoe Tamko lolote,wawatakie tu Kila la kheri CCMVyama pinzani toeni tamko acheni kulala
Wapinzani walisingiziwa sanaHaina haja tena ya kuandamana. Tunawasubiri mtimize ahadi zenu maana wapinzani waliokuwa kikwazo sasa hawapo.
Sidhani kama anajiandaa kuishia muhula huu huu tu.Bunge lote kijani.Unadhani kwa ajili gani?sasa watavurugana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama chao,mitandao ya kusaka urais inaanza soon mwenyekiti hatakuwa na nguvu kuyadhibiti makundi ndani ya chama chake,daima upinzani upo upo tu hata ndani ya chama chake.Hakuna alichokifanya kuua upinzani,kafanikiwa kudhibiti miamba ya upinzani isiwepo bungeni wataibuka wa chama chake humo humo ndani huku yeye akijiandaa kumaliza muhula wake wa pili
Watu wanaoipa ushindi CCM siku zote Ni hawa.Miaka 5 inafikiri ni mchezo? Hawa watumishi waliosaidia ccm kufanya uharamia huu ndyo watapata pigo la kwanza.
Mkuu licha ya kuwa huenda kulikuwa na uchakachuzi lakini Kuna kundi kubwa la watu wasiopiga kura linapaswa kulaumiwa.Ujue Kama mtu hupigi kura unampa nguvu na kiburi mchakachuaji kufanya yakeHuku mtaani tunafahamu tulio wapigia kura lakini siyo waliotangazwa. Cha kukubali hapa ni kuwa Magufuli aapishwe kama Mfalme wa Tanzania na awe amateur wasaidizi wake kuanzia serikali za mitaa. Tutaokoa pesa nyingi katika maigizo ya uchaguzi.
Tukikubali hali hii it akirudi a tena 2025.
Kuna kupigika zaidi ya huku?Watu wanaoipa ushindi CCM siku zote Ni hawa.
1.Watumishi wa Serikali hasa wale wa kuteuliwa wanaokula keki ya nchi.Hapa toa watumishi wa ngazi za chini...
Unampa mawaz mbadala mtu mjuaji ya Nini?Tukubali:
1.Hatuwezi tena kukosoa,bali kila kitu itakuwa unaambiwa ni 'maelekezo toka juu'
2.Ukiwa na wazo mbadala,utaambiwa ni 'msaliti'
3.Hakuna tena mtu wa kuidhibiti 'Serikali',hapo ni "ndiooo",hata kama kiongozi anakosea!!!
Kukosekana maendeleo nchi nzima kusababishwe na upinzani! Hao wananchi wanaojitambua wako wapi?Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.
Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo....
Mkuu ukizunguka mtaani bado watu hawajaelewa siku wakiona kabisa siku mbili hawana chakula au mtu siku mbili hajui lile Wala lile ndio wore akili zitatukaa sawa.Kuna kupigika zaidi ya huku?
Sishauri kabisa mpinzani yeyote aandamane afe halafu faida waje wapate CCM pekee kwa gharama ya Upinzani.Wacha tuendelee kura vumbi.CCM wenyewe watakuwa wa Kwanza kuandamanaSidhani kama anajiandaa kuishia muhula huu huu tu.Bunge lote kijani.Unadhani kwa ajili gani?
Hapo ndo tungeshuhudia idadi ya wapiga kura kufikia Milioni 70+.Kwa kilichofanyika hata watu wangejitokeza kupiga kura kwa wingi kiasi gani bado shida ingekuwa kwenye kutangaza matokeo ambapo ni kazi inayofanywa na vichwa vichache.Wengine tunakuwa wasikilizaji tu.Mkuu licha ya kuwa huenda kulikuwa na uchakachuzi lakini Kuna kundi kubwa la watu wasiopiga kura linapaswa kulaumiwa.Ujue Kama mtu hupigi kura unampa nguvu na kiburi mchakachuaji kufanya yake
Mkuu licha ya kuwa huenda kulikuwa na uchakachuzi lakini Kuna kundi kubwa la watu wasiopiga kura linapaswa kulaumiwa.Ujue Kama mtu hupigi kura unampa nguvu na kiburi mchakachuaji kufanya yake