StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Mkuu ukizunguka mtaani bado watu hawajaelewa siku wakiona kabisa siku mbili hawana chakula au mtu siku mbili hajui lile Wala lile ndio wore akili zitatukaa sawa.
Wataambiwa kwa sababu hawafanyi kazi ndio maana hawana chakula na papo hapo watajiona hawajala kumbe kwa sababu ya uzembe wao wenyewe na siyo serikali.Mkuu ukizunguka mtaani bado watu hawajaelewa siku wakiona kabisa siku mbili hawana chakula au mtu siku mbili hajui lile Wala lile ndio wore akili zitatukaa sawa.
Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.
Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo...
Ukute hajachoka wala nini bali ameamua kuwaigizia ili kupima upepo wa makovu ya watu mioyoni mwao.Jana nimepanda daladala Kuna mama mmoja kachoka tu,kapiga kelele daladala nzima akisifu ushindi na kuuponda vikali Upinzani,jinsi Yule mama alivyochoka hakuna abiria hata mmoja alithubutu kumjibu,daladala ikawa dead silence Kimya Kama tupo kwenye tafakari kuu.Mama akaona hakuna sapoti yeyote akabaki anajiongelesha Kama chizi mwisho akashuka bila abiria yeyote kuongea
Ni vizuri kupiga kura ili kumpa uhalali Kiongozi wa kusema tumeibiwa kura.Sasa usipopiga utasemaje umeibiwa kura.Siku nyingine Kama viongozi wetu watagombea tupige kura kwa wingi ili viongozi wapate sababu ya kusema wameibiwa kura.Uchaguzi huu watu walikata tamaa kabla ya kupiga kura.Nina majirani zangu watano hawajaenda kupiga kura licha ya mie kuwashawishiHapo ndo tungeshuhudia idadi ya wapiga kura kufikia Milioni 70+.Kwa kilichofanyika hata watu wangejitokeza kupiga kura kwa wingi kiasi gani bado shida ingekuwa kwenye kutangaza matokeo ambapo ni kazi inayofanywa na vichwa vichache.Wengine tunakuwa wasikilizaji tu.
Miujiza ya uchaguzi.Kama Corona ilitoka kwa maombi Basi hata kura zitakuwa zililetwa na Malaika mkuuLakini ktk kuhesabu kura ni nyingi sana pamoja na watu kuto kwenda Mungu fundi
Na walivyo wajinga wataamini.Kuna mtu kikokotoo kinaenda kumuathiri keshokutwa tu lakini Ni shabiki kindakindaki humuambii chochote,nikasema watu kama hawa Mungu atusamehe.Wataambiwa kwa sababu hawafanyi kazi ndio maana hawana chakula na papo hapo watajiona hawajala kumbe kwa sababu ya uzembe wao wenyewe na siyo serikali.
Yule Mama alileta Simanzi kwenye daladala.Halafu nimegundua Kuna wanaCCM wengi nao wameanza kulalamika walitegemea kutakuwa angalau na mchanganyiko kidogoUkute hajachoka wala nini bali ameamua kuwaigizia ili kupima upepo wa makovu ya watu mioyoni mwao.
Kuna kuiba kura na kuna kutangaza aliyeshindwa kuwa mshindi.Hili la pili halitegemei la kwanza.Wizi wa kura ukishindikana basi ni mwendo wa kutangaza aliyeshindwa kuwa mshindi.Kulalamika kuibiwa kura hakujaanza leo na sijawahi kuona impact yake tangible ili kuthibiti wizi huo usijirudie tena.Ni vizuri kupiga kura ili kumpa uhalali Kiongozi wa kusema tumeibiwa kura.Sasa usipopiga utasemaje umeibiwa kura.Siku nyingine Kama viongozi wetu watagombea tupige kura kwa wingi ili viongozi wapate sababu ya kusema wameibiwa kura.Uchaguzi huu watu walikata tamaa kabla ya kupiga kura.Nina majirani zangu watano hawajaenda kupiga kura licha ya mie kuwashawishi
Wala usiogope, wacha waingie, watatibiana wenyewe, waliyataka wenyewe, bado kisiasa wako wanatambaa, ili ukinzani ukue, lazima wale magwiji wa ccm waingie mle wawape somo, swala wataelewa, maana wale magwiji waliochoka na ccm ndio wanajuwa siasa za ccm na jinsi wanavyohangaika kupata kura ili wale.Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.
Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo...
Ukiona hivyo basi kuna uwezekano Mkubwa kwamba kwenye huo ushabiki wake anapata manufaa makubwa kuliko ya 'kikokotoo' hivyo hatajali maadam manufaa ya ushabiki wake hayataguswa.Na walivyo wajinga wataamini.Kuna mtu kikokotoo kinaenda kumuathiri keshokutwa tu lakini Ni shabiki kindakindaki humuambii chochote,nikasema watu kama hawa Mungu atusamehe.
Kuna Mambo Yanatia Kinyaa Ila AchaTatizo si Wananchi bali Serikali imeamua kuwa upande wa CCM
Namfahamu vizuri,katika ofisi yao wale wote wanaofanya kazi pamoja naye Ni yeye tu ndio yupo ovyo na hajajiandaa kwa namna yeyote ile kwa maisha ya badaye.Ukiona hivyo basi kuna uwezekano Mkubwa kwamba kwenye huo ushabiki wake anapata manufaa makubwa kuliko ya 'kikokotoo' hivyo hatajali maadam manufaa ya ushabiki wake hayataguswa.
Hapana waambie wasilalamike nakumbuka Yesu alisema "ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake utawezaje kusimama?". Wakiwa wenyewe ndo mambo yao yataenda kama watakavyo.Hakuna kikwazo tena.Yule Mama alileta Simanzi kwenye daladala.Halafu nimegundua Kuna wanaCCM wengi nao wameanza kulalamika walitegemea kutakuwa angalau na mchanganyiko kidogo
Wananchi nao Ni jipu.Pita pita mtaani uliza washabiki wa chama Tawala wapo wengi mno japo baada ya uchaguzi hawataki tena kujionesha maana wanajua yajayo yanatisha.Hapohapo pita pita mtaani uliza ambao hawakupiga kura sababu ya kukata tamaa wapo wengi mnoTatizo si Wananchi bali Serikali imeamua kuwa upande wa CCM
πππ, Mlikuwa na midomo Sana humu,naamini sasa kilichobaki ni nyinyi kuunga juhudi tu.Taratibu mkuu...
Tumetimiza ratiba sikatai ila jukumu la kuweka viongozi / wawakilishi lilikuwa na wenyewe
Usiseme kwamba unamfahamu vizuri ndugu.Manufaa siyo lazima yawe yanayoonekana kwa muda huo.Wengine wanaishi kwa matumaini ya ahadi kemkem walizoahidiwa. Wengine wanapata ajira kutokana na huo ushabiki n.k.Mambo ni mengi rafiki.Namfahamu vizuri,katika ofisi yao wale wote wanaofanya kazi pamoja naye Ni yeye tu ndio yupo ovyo na hajajiandaa kwa namna yeyote ile kwa maisha ya badaye.