Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

kwahiyo unafurukutwa moyoni na kukereketwa akilini na unajitokeza kulaumu tu bila kua na fikra au hoja mbadala dhidi ya ukweli hou kumuhusu Dr Samia Suluhu Hassan dhidi ya Upinzani nchini?🀣
Kwanza unajua Samiah alipo?. Mnajifanya chawa wa Samiah ila ukiulizwa Sasa hivi yupo wapi kimya.
 
Kataa uchawa, kalime hata nyanya ujisimamie.
 
 

Attachments

  • VID-20240629-WA0008.mp4
    2.8 MB
Mbona hatokei kwenye midahalo, anatuma watu!!
Midahalo ya Dr.Samia Suluhu Hassan, mara kwa mara huifanya moja kwa moja na wananchi mijini na vijijini, kitaifa na kimataifa...

na hiyo imempa fursa ya kufahamu mengi, kujua mengi na kwakweli kujua mengi ambayo sasa huyaunganisha yote hayo kutoka huko kwa wananchi na kuyatengenezea mipango rasmi ya utekelezaji na hicho ndicho hasa chanzo cha kukubalika na kuaminika sana kwa wananchi hususani wa Tanzania πŸ’

inahitaji mdahalo gani tena hali ya kua unafanya midalalo kila uchwao na wananchi?πŸ’
 
Kuna post nyingine unaweza ukafungua na ukajuta, nimejikuta nasoma huu upuuzi hadi natukana mwenyewe
 
Kataa uchawa, kalime hata nyanya ujisimamie.
hivi navyoandika reply hii niko shambani, aise mwaka huu waziri wa kilimo Husseni Bashe Lazima tumpe maua yake dah, sio kwa mavuno haya πŸ’

Miaka ya nyuma kwenye ekari 100 tulikua tunavuna in 5 to 7 days tu tumemaliza aise arconding to man power....

this time round ni amezing sana,
with the same man power leo hii siku ya 15 hata ekari 40 hatujamaliza na hiyo ni maize tu bado alizeti πŸ€“

mapinduzi ya kilimo aliyoyachochea Hussein Bashe yanatushughulisha haswaaa gentleman πŸ’

kilimo cha nyanya kilinipa changamoto kidogo but sijakidharau hata kidogo, nakitafutia time ngoja nimalizane kwanza na kuvuna πŸ’
 
Kuna post nyingine unaweza ukafungua na ukajuta, nimejikuta nasoma huu upuuzi hadi natukana mwenyewe
ndizo fikra mbadala ulizojaza moyoni na akilini,
nadhani ikiwa zinakusaidia zijaze zaidi sasa tena kwa bidii na usonge mbeleπŸ’

Lakini kusema ukweli upinzani is no more dhidi ya ushawishi, nguvu na mipango ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa waTanzania πŸ’
 
Ungekaa kimya na wewe kuliko kuwa kero kwa wanadamu wenzako.
yaani ufurukutwe moyo kwa ukweli bayana, ushindwe kujizuia kukaa kimya uje hapa kulalamika?🀣

na hiyo ndio habari ya mjini na vijijini,
wananchi wanahoji wapinzani wanaenda kufanya nini sasa wakati Dr Samia Suluhu Hassan anafanya kazi vizuri na mambo yao yamenyooka?πŸ’
 
4R feki
 
Kwanza unajua Samiah alipo?. Mnajifanya chawa wa Samiah ila ukiulizwa Sasa hivi yupo wapi kimya.
umeahishia goli mbali sana, mbona sasa hata havihusiani na hoja 🀣

kwani wew uko wap kwanza labda tuanzie hapo?

binafsi niko shambani muda huu navuna πŸ’
 
Nyie chawa ndo mnarudisha nyuma maendeleo
wananchi wanahoji huko vijijini,
upinzani wanaenda kufanya nini kuwasumbua tu akati Dr Samia Suluhu Hassan anawafanyia mambo mazuri kijamii kisiasa na kiuchumi? πŸ’
 
Kwanza unajua Samiah alipo?. Mnajifanya chawa wa Samiah ila ukiulizwa Sasa hivi yupo wapi kimya.
Akili yako ndo imefika ukomo wa kufikiri, Angalia trend za Kodi, makato, tozo linganisha na kipato cha mwananchi, halafu fikiria tena kuhusu ongezeko la watu na mabadiliko ambayo hata Nyerere alisema. Mwisho Angalia mikakati Sera na mipango, fuatilia utekelezaji. Ukipata majibu njoo tuongee
 
Una undugu na yule jamaa anayejiita Lucas Mobutu seseseko mwashambwa?maana mnafanana uchawa Kwa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…