Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

Kwenda zako kuzimu
 
hoja yangu ya msingi ndiyo ukweli wenyewe,

kama una hoja nyingune tofauti na hoja yangu ya msingi, andika bandiko tujadili mbivu na mbichi,

yote na yote ukweli ni kwamba upinzani is no more mbele ya Dr.Samia Suluhu Hassan tuendako mbele
 
Ama Laana Hii irudie kwako mleta maneno haya.
Hatuwalaanigi Viongozi wa Nchi.
Kwani ikiwasibu Laana ,na sisi wananchi hatuna salama.
Mungu awarehemu na awape Huruma na Upendo kwa raia zao.
Amin
na Hii laana Akugeuzie mwenyewe.
Amin
Baraka na Neema za Mungu ziambatane na kuandamana nasi sote katika mawazo yetu, maneno na matendo ili hatimae sote tufurahie zawadi ya uhai, afya na maisha aliyotujalia Mungu bure, kwa upendo, hekima, busara na matashi mema kwa manufaa yetu sisi na wengine wote chini ya jua...
Aimen...
 
Nadhani ulikusudia kutwambia tusiache kuishinikiza serikali katika hili la KATIBA MPYA
katina mpya,
ni baada ya uchaguzi mkuu 2025.

kumbuka ni katiba mpya, sio sijui rasimu ya nani na nani huko,

hapana ni katiba mpya ya waTanzania wote
 
Dogo Hizi post za kuandikiwa pale Lumumba alafu unapewa bundle ukapost jf

Sisi tuliopo serikalini tunajua Hali niniTete

Mishahara mwezi huu ilikuwa hari hati

Wazabuni mpaka Leo hawajalipwa

Wafanyabiashara nchi nzimagoma

Siku hizi tra wanakusanya ili kulipa madeni hela hapohapo ambao siyo utaratibu uliozoleka

Hali ni tete

Alafu bumunda Toka Lumumba linaandika upuuzi
 
Wewe kisomo kinakuhuhusu, sipo tiyari muona mtanzania mwenzangu anapoteana
 
Wewe kisomo kinakuhuhusu, sipo tiyari muona mtanzania mwenzangu anapoteana
badala utoe fikra mbadala wa hoja ya msingi mezani, unatoka nduki na kujificha, kwa kujipa umuhimu ambao haustahili hata kidogo
 
serikali mbadala ya kambi rasmi ya upinzani sio?

unazungumzia wafanyabiashara au wanasiasabiashara gentleman?

halafu,
huo sio uzalendo, yaani mtumishi wa umma bado unategemea mshahara pekeyake na hujishughulishi na shughuli nyingine za kujiongezea kipato ee? hujapita JKT wewe au ni wale wa vyeti feki mlonisirika kubambwa?

tafadhali sana usiishe kwenye hali ya hatari namna hiyo kutegemea mshahara. kumbe ndiyo maama unasema una hali tete. kule nyumbani kwenu kuna ardhi kubwa tu yenye rutuba, si ungelima hata ekari 30 tu gentleman?

hayo mengine ya wazabuni, sijui TRA n.k,
serikali inashughulika nayo taratibu na mambo yanakwenda vizuri sana

nimekuonea huruma sana aise
 
Nasema kisomo kinakuhusu , uchawa hata mbinguni haupo wewe wautoa wapi , mkuu pumbavu sana
relax basi gentlema,
mihemko inakutesa sana,

lakini ukweli ndivyo ulivyo mchungu, halafu saa zingine una kera sana, kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio habari ya mjini, vijijini, kitaifa na kimataifa kwenye siasa za Tanzania, na hakuna namna nyingine
 
hoja yangu ya msingi ndiyo ukweli wenyewe,

kama una hoja nyingune tofauti na hoja yangu ya msingi, andika bandiko tujadili mbivu na mbichi,

yote na yote ukweli ni kwamba upinzani is no more mbele ya Dr.Samia Suluhu Hassan tuendako mbele
Hamna kitu, hapo , hana sifa ya kuendelea ku hold hiyo nafasi 2025, kama mnataka opposition wachukue nchi kirahisi mwekeni huyo Mama.

Free and fair election hatoboi, labda muendelee na wizi wenu wa kura na kutumia Vyombo vya Dola.
 
epuka kizira au kususa uchaguzi kwa sababu hizo....

nakuombea usije kuamini kwamba kuna free and fair elections wakati uchaguzi umekwisha

itakulazimu usubiri miaka mitano tena....
 
Unazo akili kweli?
 
epuka kizira au kususa uchaguzi kwa sababu hizo....

nakuombea usije kuamini kwamba kuna free and fair elections wakati uchaguzi umekwisha

itakulazimu usubiri miaka mitano tena....
I can see , lack of objectivity and particularity!!!
I don't see something sold from your thread, I won't waste time any more, OVER & OUT.
 
I can see , lack of objectivity and particularity!!!
I don't see something sold from your thread, I won't waste time any more, OVER & OUT.
gentleman,
no one will force or command you to visit their threads, its up to you
 
Ushawishi gani wakati nchi imetawaliwa na migomo kwenye kila sekta sasa na wawekezaji wa kigeni wanagoma.
Bibi chura nchi imemshinda
 
Ushawishi gani wakati nchi imetawaliwa na migomo kwenye kila sekta sasa na wawekezaji wa kigeni wanagoma.
Bibi chura nchi imemshinda
ungegoma wewe kuchangia hoja hii pangechimbika,

bahati yako umewahi kuchangia japo una mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…