EDIGAR JO
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 422
- 444
Samahani .
Poleni na kazi Waheshimiwa
Natumaini mkheri wa afya
Naomba msaada wako kwa kunisaidia mawasiliano ya simu ya viongozi hawa,
1.Waziri wa Ardhi wa Tanzania wa sasa Mheshimiwa Jerry Silapha.
2.Mheshimiwa .Poul Makonda
Mi nilikuwa naomba msaada wenu kwenye jambo hili ili kisiharibike kityu.
Baba angu mimi amekumbana na changamoto ya kutwaliwa eneo lake na taasisi ya Serikali TBC .
Lakini utwaaji huu unaonekana ni batili kwani hamna malipo halali ambayo yanafanyika kutokana na kutakwa kutia sahihi kwenye hundi ya malipo takribani TShs Milioni 109.754.Ambapo malipo hayo tunayakataa kwa hoja zifuatazo;
1.Thamani ya nyumba 1 na ghofu ni takribani milion 95.2 wakati zilipojengwa mwaka 2018 na kuna kisima Milion 6 ,Kuna Mikorosho 50 ukuaji 100% na imevunwa mara 2 na miti mingine ya matunda .Eneo ni Ekari 3.5 lipo KM 1.5 kutoka Dodoma -Morogoro road.
Dodoma mjini(Mtumba (Mji wa kiserikali)).
Kutokana na mchanganuo huo thamani ya vitu hivyo kwa sasa ni kubwa na hàipaswi kuwa hio.
2.Shitaka hili lilitimiza mwaka tarehe 26.02.24 kuwepo mahakamani pasina kusikilizwa hata maramoja mpaka kumalizika kwa muda wake.
Hivyo ni viashiria vya kuwepo kwa udanganyifu.
3.Taarifa za uthamini hazikuwa sahihi kwani zinaonesha kuwa ni za kugushi na si halali.
Na ujenzi wa wavamizi hao unaendelea .
Ombi langu kwenu nyie Wana JF wenzangu wapendwa tusaidie mimi na Baba au mmoja kati yetu kuonana na viongozi wa ngazi za juu wahusikao na Ardhi ,amma naomba utusimamie wewe tupate haki yetu sisi WANYONGE.Viongozi ambao pia nalitamani niwaone ni Makonda ,Waziri wa Ardhi Mh.Jerry ,Au wa juu zaidi ya hapo maana hili jambo nadhani wanaoliangalia ni wakubwa Ndio maana Mahakama haikuwa na nguvu ya kuita shitaka hilo.
Nimeshindwa kuonana nao .Nilizuiliwa njiani pasina sababu za wazi.
Amma ,