Uporwaji wa ardhi utaisha lini dodoma? Naumia sana raisi samia alione hili

Uporwaji wa ardhi utaisha lini dodoma? Naumia sana raisi samia alione hili

Hili eneo lipo vikonje? Katka kale kamlima TBC wamejenga uzio na miundombinu kadhaa???
 
Umejuaje kuwa ni hasara?
Inawezekana financial literacy kwako ni shida ila iko hivi.
  1. Thamani ya nyumba 95.6 M (2018)
  2. Kisima 6M
  3. Mikorosho 50
  4. Ardhi 3.5 Acre
Ukichukua thamani ya Nyumba na kisima tu ni 101.6 M kwa thaman ya mwaka 2018. Thamani ya milioni 101.6 ya mwaka 2018 kwa makadirio ni sawa na 117.6 Million 2024, (weka average rate ya 4% tu kila mwaka), hapo hatujapiga thamani ya mikorosho na Ardhi wala ya usumbufu.
 
Kwann unasema malipo ya 1.5m unayotaka kutoa sio rushwa? Ukitoa wewe huoni kama ni rushwa wakitoa wenzako unakimbilia kusema kwa mama.

Ni haki yako kusaidiwa usianze kutanguliza rushwa! Utakuwa huna tofauti na hao waliotoa rushwa wakawadhulumu
Haki yako alafu bado unatoa rushwa, mimi sifanyi ujinga huo,bora niikose,siwezi nunua haki yangu abadani wakati serekali ipo ya kusimamia haki zangu!!
 
Ahsante kama kunawezekana ifikishe kila mahari kuna malipo baada ya kuisha chili.
Maana baada ya kukumbana na hili na kushindikana mahakamani ,mpaka leo hii Waziri wa Ardhi hapokei simu
So sad
Sasa kama wwe una pesa si wape huko Mahakamani!!?
 
Ahsante kama kunawezekana ifikishe kila mahari kuna malipo baada ya kuisha chili.
Maana baada ya kukumbana na hili na kushindikana mahakamani ,mpaka leo hii Waziri wa Ardhi hapokei simu
So sad
Waziri wa Aridhi hapokei pesa kumuona huduma zake zote ni bure,jaribu kumtumia email!!
 
Samahani, natumaini umzima wa afya.

Mi nilikuwa naomba msaada wako kwenye jambo hili ili kisiharibike kityu.

Baba angu mimi amekumbana na changamoto ya kutwaliwa eneo lake na taasisi ya Serikali.

Lakini utwaaji huu unaonekana ni batili kwani hamna malipo halali ambayo yanafanyika kutokana na kutakwa kutia sahihi kwenye hundi ya malipo takribani TShs Milioni 109.754. Ambapo malipo hayo tunayakataa kwa hoja zifuatazo;

1. Thamani ya nyumba 1 na ghofu ni takribani milioni 95.2 wakati zilipojengwa mwaka 2018 na kuna kisima milioni 6, kuna mikorosho 50 ukuaji 100% na imevunwa mara 2 na miti mingine ya matunda. Eneo ni ekari 3.5 lipo km 1.5 kutoka Dodoma-Morogoro road.

Dodoma mjini (Mtumba (Mji wa kiserikali)).

Kutokana na mchanganuo huo thamani ya vitu hivyo kwa sasa ni kubwa na haipaswi kuwa hivyo.

2. Shitaka hili lilitimiza mwaka tarehe 26.02.24 kuwepo mahakamani pasina kusikilizwa hata mara moja mpaka kumalizika kwa muda wake.

Hivyo ni viashiria vya kuwepo kwa udanganyifu.

3. Taarifa za uthamini hazikuwa sahihi kwani zinaonesha kuwa ni za kugushi na si halali.

Na ujenzi wa wavamizi hao unaendelea.

Ombi langu kwako, kwa kuwa wewe ni mfanyakazi wa Serikali huenda ukatusaidia mimi na Baba au mmoja kati yetu kuonana na viongozi wa ngazi za juu, kati ya Makonda, Waziri wa Ardhi Mh. Jerry, au wa juu zaidi ya hapo maana hili jambo nadhani wanaoliangalia ni wakubwa. Ndio maana Mahakama haikuwa na nguvu.

Kaka naomba msaada wako, kwani kwa nguvu zangu nimeshindwa kuonana nao. Nilizuiliwa njiani pasina sababu za wazi.

Kuna malipo ya milioni 1.5 na sio Rushwa. Wa kunisaidia 0685237039.

Thanks View attachment 3017878HII DODOMA MBONA INASHIDA SANA ZA ARCHI WEWE RAISI UITWAYE MAMA HUONI HILI??
Kesi hiyo ni Namba ngapi hasa na ipo katika Mahakama gani?
Zoezi la uthamini wa Ardhi lilifanyika lini?
 
Dodoma inahitaji kuwa mkatili dhidi ya maafisa ardhi, ofisi ya kamishana na msajili.

Hawa watu katika hizo idara kwa nyakati tofauti ila hawa wa takribani miaka 15, wanahitaji hata kunyongwa kabisa.
 
Inawezekana financial literacy kwako ni shida ila iko hivi.
  1. Thamani ya nyumba 95.6 M (2018)
  2. Kisima 6M
  3. Mikorosho 50
  4. Ardhi 3.5 Acre
Ukichukua thamani ya Nyumba na kisima tu ni 101.6 M kwa thaman ya mwaka 2018. Thamani ya milioni 101.6 ya mwaka 2018 kwa makadirio ni 117.6 Million, (weka average rate ya 4% tu), hapo hatujapiga thamani ya mikorosho na Ardhi wala ya usumbufu.
Daaaah hiyo thamani ya nyumba ni fedha tuliyojengea na sio hiyo nyumba INAUZWA
 
  • Thanks
Reactions: I M
Daaaah hiyo thamani ya nyumba ni fedha tuliyojengea na sio hiyo nyumba INAUZWA
Uthamini wa Ardhi ulifahyika lini? Kesi ilifunguliwa lini na ipo katika Mahakama gani?
Kama Fidia ilikuwa ndogo, Je, mlifuata utaratibu wa kisheria ili kupinga Fidia hiyo?
Umesema kwamba wanaendelea na ujenzi, Je, mliweka zuio la kimahakama (Court Injunction or Stop order) ili kuzuia ujenzi huo usiendelee?
 
Tuliahidiwa kupewa barua ya zuio lakini mpaka leo hawajatoa na kesi hiyo ilikuwa mahakama ya Mwanzo
Makonda 0682009009
0769278080
Hii mbona siyo ya kwake ndugu ???
Naomba tuwasiliane kupitia 0685237039
 
Kama taarifa hapo juu ni sahihi 109M ni hasara kwao. Kwanini wapate hasara?
Chief kwa serikali hii ninayoijua ilivyo dhulumati wanaweza wasilipwe chochote na hata wakienda mahakamani kesi inaweza kuunguruma hata miaka 20 na hata wakishinda serikali inaweza kugoma kulipa na hamna chochote watafanya
 
Unachoongea uko sahihi kabisa, haya mambo yapo na yanatokea. Cha ajabu zaidi wanayofanya haya mambo nao ni binadamu tu, na hivi wameona atakua mzee hiyo miaka ya kesi ya ardhi hatoboi ikifika mahakamani.
 
Tuliahidiwa kupewa barua ya zuio lakini mpaka leo hawajatoa na kesi hiyo ilikuwa mahakama ya Mwanzo
Kutokana na namna jinsi unavyojibu maswali Inaonyesha wazi kwamba hamko serious kabisa kuhusu suala hili.

Anyway, Kesi yenu mnapaswa kwenda kuifungua katika Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, Wala siyo Mahakama ya Mwanzo, Wilaya au Mahakama ya Mkoa. Ni Mahakama Kuu tu.
Aidha, kwenye Kesi hii pia mnapaswa kumjumuisha Mshitakiwa mwingine ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).
Fanyeni hivyo mapema, mkichelewa Sana mtakumbana na Vizingiti vigumu zaidi vya kisheria.
Muone Wakili mzoefu/ Wasaidizi wa kisheria ili awasaidie kwenye suala hili.

Aidha, msisahau kuifuta kwanza hiyo Kesi mliyofungua huko Mahakama ya Mwanzo.
Pia, mkumbuke kuweka zuio la Kimahakama la Muda ili kusitisha shughuli zote za ujenzi zinazoendelea hapo kwenye kiwanja hadi Kesi ya Msingi isikilizwe kwanza.

Kuwa serious,
 
Back
Top Bottom