Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

Mama yupi Mkuu? Huyu huyu au mwingine? Kawekewa mtego na tayari keshanaswa. Hana pakupumulia tena. "Wasukuma Wanaamini kuwa ng'ombe wanaoswagwa na mwanamke kamwe hawafiki mnadani" . Dalili tayari ziko wazi.
Wasukuma ndiyo nani nchi hii? Wala msitutishe na kelele zenu. Yàani hizo kelele za Josephat Gwajima?. Rais SSH tunaye hadi 2030
 
Umejitahidi kupiga majungu kwelikweli
 
Hii ni dhana tu unayoitunga hapa.

Huyo mama angeonyesha uwezo wa kuongoza dhana yako isingekuwepo. Mama hana uwezo wa uongozi, sio tu kwa sababu yeye ni mwanamke.
 
Kati yao hakuna anayefaa kuwa rais hata mmoja. Ni basi tu kwa sababu ya mfumo mbovu wa demokrasia yetu
 
Waziri wa fedha hatumtaki kabisa kwanza ni mnafki na kichwani ni zero licha ya kuwa na PhD.

NB:CCM nayo hatuitaki.
Mkuu usiseme hivyo watu wa dizaini hii huwa wanahama chama then wanapeperusha bendera tunabaki kushangaa ...
 
Nani kiongozi wa Boys2men?
Marry Nagu alikua kwenye first line akifuatiwa na Migiro, Amina Salum Ally then Samia… ukitaka kubali ukitaka acha.

Narudia tena Boys2men wanazichezea siasa za nchi hii kwa akili ya juu sana!!
 
Asante kwa kunifumbua macho!Namuona mzee wa Msoga kwa mbaali kwenye hicho ulichosema!!!
 
Hakuna mwanasiasa anakubali kuachia madaraka kirahisi, siyo rahisi Samia aachie hivihivi tu Hadi abanwe na katiba. Hata Mbowe hakubali kuachia madaraka Ila chadema sijui Kama Kuna katiba kuhusu muda wa uongozi.
 
Mwenyekiti wa chama anajua haya?
 
Masalia ya mwendazake mnahangaika sana

Mnafanya kila mbinu kumfitinisha mama na kumpaka matope lakini yeye ndo kwanza hana habari na nyie yuko bize kujenga nchi
nchi gani
 
Mkuu ukiona kiongozi anang'ang'ania Kiti sio anakipenda Kwa mapenzi yake Bali ni lile kundi linalonufaika Kwa Uongozi wake ndio wanaomshinkikiza Kwa gharama yeyote ile.
 
Sawa
 
Wasukuma ndiyo nani nchi hii? Wala msitutishe na kelele zenu. Yàani hizo kelele za Josephat Gwajima?. Rais SSH tunaye hadi 2030
Mkuu samahani mm sio Ngosha na wala siko upande ule ila nayaona yanayoratibiwa na wao. Ni suala la muda Tu nawe utagundua jambo Lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…