Uchaguzi 2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

Twende JPM TWENDEEE MUHESHIMIWA kundi kubwa linayaelewa yote unayofanya ila linajipofusha.

2020 sio Membe twende na Msigwa au Mh. lissu.


Jpm aliweza kwanini hawa washindwe tupo tayari kupigia kura MWAMBA na JPM

#MIXER
 
Mnapenda sana kujisifu, campaign gani, uchaguzi utafanywa na secretariat yenu, mnataitisha kamati kuu na mtafanya mkutano na kumchagua mpeperusha Bendera wenu.

Hao wagombea itabidi wawashawishi hao mamia ya wana bodi ili wawape kura zao, atakayeshinda ni yule atakayepata kura nyingi.

Mleta mada, katufute nyumbu wa kuwaswaga na huo uongo wenu.
 
Sijakuelewa
 


Mkuu amekuja kupima upepo kati ya mh. Lissu na msigwa nan anafiti kupeperusha bendera ya uraisi ndan ya Chadema akikusanya maoni kama hivi ndipo kamati yao ianze kuyachambua.
 
Mkuu amekuja kupima upepo kati ya mh. Lissu na msigwa nan anafiti kupeperusha bendera ya uraisi ndan ya Chadema akikusanya maoni kama hivi ndipo kamati yao ianze kuyachambua.
Sio kweli bhana
 
Changa la macho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…