Urais wa Maisha: Baraza la Maaskofu na Kadinali Pengo wapo?

Kwann Sasa dili zimekwisha au zimefichwa.Kilichozuiwa ni watu kuripoti dili.
 
Ni wanufaika so hawawezi kwenda kinyume hao ni sawa na bakwata
 
Acha Udini .......serikali haina dini.......
 
The Boss, baraza la maaskofu na huyo pengo wote NI masanamu yenye tabasamu pana usoni. Hawana guts za kuikemea serikali. Wao ni sawa na saa mbovu, Mara mbili kwa siku huonesha majira sahihi Kama saa nzima
Ipo namna wanaonufaika,siku maslai yao yakikoma watapaza sauti
 
Kuna siku Rais atakuwa muislam na yeye wampe ukimyaa huu huu
Kabla hujawanyooshea kidole Maaskofu, hebu tuangalie dini za wabunge waliopendekeza hayo hadi sasa:
1. Juma Mkamia .......... muisilamu
2. Ally Kessy ........... muisilamu

Hebu rudi kwanza msikitini uwazuie hao, wakifuta kauli zao, akajiongezea mwenyewe, hapo ndio uwalaumu Maaskofu
 
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Jwtz hawawezi Kama wakilazimishwa wakabangue korosho na wakaenda ndio watagoma vipi Sasa.
Tujiandae tu kisaikolojia tulishakosea mwanzo
 
Ndugai,
Pinda,
Msukuma
Mkulima,nao ni waisilamu
 
Amini mwongozo wa dini yako ila viongozi wake wengi ni wapigaji sana, wanafanya vitu kutokana na maslahi yao si bakwata, baraza la maaskofu wala wachungaji wanajali matumbo yao. Kazini nina walokole hao uwambii kitu kwa askofu wao ambaye anakanisa, benki na kituo cha tv kanisani wahumini lazima watumie huduma hizo za askofu
 
SUBUTU, Marekani mwenyewe anagwaya maana hatuombi msaada kwake! na hilo la Jeshi sahau kabisa, majaribio yote yaliyofanywa wakati wa Nyerere yaliishia wapi? Unafikiri JPM ni mjinga kushindwa kulidhibiti jeshi mapema?
Hemu rudi kasome history vizuri kambona baada ya kushindwa kuwatuliza Wanajeshi ilibidi kuomba msaada kwa malikia ambapo kilitumwa kikosi cha makomando na ndo walikuja kuzima hio Mutiny
 
Mbona kajenga airport kwao na wote wako kimya?

Hadi kumuapisha Mwigulu kibarazani kwake..
Sitaki kuongea sana ini deep state system, nadokeza tu mtu wangu wa krb na marafiki zake ambao wapo kweny system ya jeshi tukiwa tunaongea uwa nawadokeza hii kitu kama inawezeka wanasema no haiwezekani jeshi halihongwi hata siku moja wao huheshimu miaka 5, then 5 akirudi tena not more than that.
 
Ni busara sana kupitia huyu 'Mtetezi' tukatengeneza 'Watetezi' wengine kwa wingi ili siku akifariki tusibaki na 'Ombwe' la mtu wa kututetea.

Lakini tukijikita kumkuza yeye na kumtegemea yeye pekee, siku Mola atakapomchukua tutarudi kwenye sifuri.

Magufuli atengeneze Magufuli wengine wengi, lakini siyo abaki yeye tu kututawala.. Hii ndiyo maana halisi ya Kiongozi..
 
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Zamani niliwaza hv ila kwa hali iliyopo na sapoti ninayoiona...sipendi ila naona maneno ya short chasis yanaelekea kutimia
 
Ndugai,
Pinda,
Msukuma
Mkulima,nao ni waisilamu
Ndugai hasemi, anaambiwa na wabunge. Pinda yupo nje ya bunge, hawezi kushiriki kubadili katiba. Msukuma mropokaji tu, huyo mkulima mimi sijui ni nani
 
Kila utawala duniani, hufanya mambo fulani fulani ambayo hatimaye huwa anguko lake.
 
Nakuhakikishia hatoweza kama pesa ya kuwalipa posho mwez 5 ilisuasua ije iwe kupata pesa ya kuwalipa JW wakati wa vikwazo vya Marekani. somo halipo mbali ni hapa burundi na zimbabwe vikwazo vya kiuchumi vya mwaka tu unanyoosha mikono. hii kitu haitakaa itokee
 
Kile wanachotaka kukifanya ccm ni uhuni na wale wanoshabikia hicho kitu ni njaa ndio zinawasumbua , jinga kabisa wale
 
Pengo alishastaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…