Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,655
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Ni vigumu sana kuirudisha nchi ambayo ishaonja mfumo wa democrasia kwenye utawala wa kidicteta wao waendelee tu kumdanganya ila atambue Jeshi halihongwi hata siku moja ukiwapa pesa ndio wanataka zaidi na zaidi tena kwa masharti.
Wanaotegemea jeshi litawasaliti wananchi polen sana, Msimdanganye mwenzenu watu wakaja kumuokota kwenye mtaro siku moja.
Mkuu hili baraza la maaskofu katoliki (tec) limekuwa kama kikundi cha wahuni kabisa..
Serikali hii ya awamu ya 5 inafanya mambo mengi ya ovyo hasa ya kusigina Katiba na haki za raia lakini wapo kimyaa kabisa..
Lakini wakati wa jk ilikuwa kila siku kumpa presha mzee wa watu..
MUNGU ni wa watu wote na Mungu huwa hachezewi..kuna pigo kuu linakuja kwa utawala huu.
Kwa maslai ya taifa si timamu Bali kwa maslai binafsiHao watu wewe unawaona wako timamu kabisa kichwani!!??!??
Hujawasikia kina Shay? Mbona wapo wengi Tu? Kumbuka tawala hazilinganishwi hivyo, alivyotawala JK si sawa na anavyotawala JPM.Wakati wa Kikwete hawa walipokuwa wanatoa matamko hamkuwasikia?Wao ni Sawa kumtukana Rais muislam? Lakini akiingia mkristo wao wakikaa kimyaa tuliwauliza vipi?Sisi ndo tuna changanya dini na siasa?
Hili swali wakukujibu ni umma mohamad, wazee wa udini (kila jambo kwao linawekwa kwenye mtazamo wa kidini)Kwani yale waliokuwa wakipigia kelele na nyaraka kila siku kipindi cha JK, kwani ndiyo hayo hayo yanayofanyika sasa na bwana MAGU?
Shida kubwa mliyonayo baadhi ya waislamu ni udini uliopindukia, kila jambo kwenu mnalitazama kwa mlengo wa kidiniHoja ya kuwahusisha viongozi wa dini, na hasa Kanisa Katoliki, ni ya msingi.
Sababu ni kwamba kiongozi mwandamizi wa Kanisa Katoliki wakati huo, Kardinali Pengo, alijitutumua sana kukosoa serikali za marais Mwinyi na Kikwete, lakini akawa bubu kwa serikali za Mkapa na Magufuli. Na kwa serikali ya Magufuli ndio kabisaaa Pengo alifikia hatua ya kujitoa ufahamu kabisa, na kuwasifia hata wapambe wa Magufuli, mtu kama Makonda! Kwa nini wawakosoe marais Waislamu tu? Huo ni Udini!
PumbafuMkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Kweli Pengo amestaafu, lakini inaonekana alijenga mtandao wa wenye msimamo kama wake. Hata ukilitizama Kanisa Katoliki la Tanzania hivi sasa, mwelekeo ni ule ulePengo alishastaafu
Sahihi kabisa, wanataka sadaka zetu lakini hawakemei uovu! Ni wanasiasa wa madhabahuniWamenunuliwa,ni wanufaika wa udhalimu hivo usitegemee kemeo lolote.Kwa East Africa viongozi wa dini wapo Kenya pekee.
Walewale, lkn hapa tunaongelea maaskofu wa TEC hasa ukikumbuka wakati wa Kikwete walivyokuwa front na nyaraka za kila leo lakini sasa hivi hakuna nyaraka!Mufti vipi anapiga kelele au naye kimya
Jenga hoja, usijifiche kwenye blanketi la stereotyping. Kwa taarifa yako, mimi ni Mkatoliki safi kabisa. Naamini kwa dhati kwamba Kanisa ni Takatifu kwa sababu Bwana Yesu, ambaye ndio kichwa cha Kanisa, ni Mtakatifu. Naamini pia kwamba Kanisa ni lenye Dhambi kwa sababu viungo vya kanisa, waamini, ni wadhambi. Hivyo sishangai kwamba mtu mkubwa kama Kardinali Pengo, anafanya makisa tena hadharani.Shida kubwa mliyonayo baadhi ya waislamu ni udini uliopindukia, kila jambo kwenu mnalitazama kwa mlengo wa kidini
Kanisa Katoliki likikukosoa ama kukupongeza ni kwa kutumia facts, mitazamo ya kipuuzi (jicho la udini) iko kwa waislamu 'baadhi'
Sasa nikikuambia kwamba mimi ni Mkatoliki saaafi, utasemaje? Usifikiri kila anayekosoa viongozi wa Kanisa kwa makosa wanayofanya dhidi ya marais waislamu, ni muislamu. Mimi ni mpenda haki, nina ndugu zangu waislamu kwa wakristu.Shida kubwa mliyonayo baadhi ya waislamu ni udini uliopindukia, kila jambo kwenu mnalitazama kwa mlengo wa kidini
Kanisa Katoliki likikukosoa ama kukupongeza ni kwa kutumia facts, mitazamo ya kipuuzi (jicho la udini) iko kwa waislamu 'baadhi'
Bila kukemea uovu pa kichafuka je watapata wapi sadaka.Sahihi kabisa, wanataka sadaka zetu lakini hawakemei uovu! Ni wanasiasa wa madhabahuni
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Ni vigumu sana kuirudisha nchi ambayo ishaonja mfumo wa democrasia kwenye utawala wa kidicteta wao waendelee tu kumdanganya ila atambue Jeshi halihongwi hata siku moja ukiwapa pesa ndio wanataka zaidi na zaidi tena kwa masharti.
Wanaotegemea jeshi litawasaliti wananchi polen sana, Msimdanganye mwenzenu watu wakaja kumuokota kwenye mtaro siku moja.
Sisi wananchi tumechukua hatua zipi kukemea hayo matamko ya kishenzi ?
Tuache ujinga wa kusubiri kusemewa semewa na watu wengine.
Tujifunze kupambania haki zetu
Hizo ARV unazopewa na marekani sio msaada, na vip zile billion za corona ulizopewa na marekani, na unajua project anazofanya USAID Tanzania ni nyingi sana usingeongea huo Ujinga ulioongeaSUBUTU, Marekani mwenyewe anagwaya maana hatuombi msaada kwake! na hilo la Jeshi sahau kabisa, majaribio yote yaliyofanywa wakati wa Nyerere yaliishia wapi? Unafikiri JPM ni mjinga kushindwa kulidhibiti jeshi mapema?
pole sana; jaribu kusoma post yangu tena kwa makini, soma katikati ya mistari - JPM siyo mjinga.................Hizo ARV unazopewa na marekani sio msaada, na vip zile billion za corona ulizopewa na marekani, na unajua project anazofanya USAID Tanzania ni nyingi sana usingeongea huo Ujinga ulioongea
Nyerere mambo yalimshinda akang'atuka 1985, inaonekana kiumri ni mdogo na hujui mambo mengi