Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Uko sahihi,kuna watu wanafanya kila kitu kwa usahihi na juhudi lakini hawafanikiwi, lakini kuna watu wala hawako serious lakini mafanikio yanawafuataNdo ujue Urais hautafutwi Kwa pesa au upendeleo,
Urais ukikutaka, utakutafuta uliko,
Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini ukamkuta anachunga Kondoo na mbuzi😀😀
Wanasiasa wa Nchi hii wajifunze somo hili Toka Kwa Rabbon
Unashida kwenye dishing,sio bure wewe.Kwa upumbavu huu wa middle class wa kitanzania, ndio maana nchi bado sana,eti Urais umewafuata hao uliowataja wakati ukweli yaani naked truth,mtu mmoja alikua na uwezo wa kutafuta Rais wa nchi, soma hii eti Mauritius ndio nchi inayowekeza kwa wingi hapa nchini, nini kilimfanya Nyerere ambaye Alisha ng'atuka kwenye siasa kurudi na kutuletea rais aliyejiita ni Mr.clean wakati ni mmoja wa mafisadi wakubwa?
Ni Kweli kabisa,Uko sahihi,kuna watu wanafanya kila kitu kwa usahihi na juhudi lakini hawafanikiwi, lakini kuna watu wala hawako serious lakini mafanikio yanawafuata
Kumbuka kuwa naye Mungu huyo pia atawaokoa wana wa Tanzania na udhulumati wa haki na Taifa lake.Mungu ndiye amepanga Rais Samia kuongoza Taifa letu mpaka 2030
Alilipa ndipo akapata credibility ya kukopa!Rais Mkapa ndiye aliyelipa madeni yote ya mikopo ya watangulizi na hakukopa hata mia.
Na alikabidhi hazina ikiwa na Mzigo wa kutosha.
Endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupata[emoji3][emoji3]
Jibu swali kwanzaRudia kusoma, Urais Hautafutwi Kwa pesa Wala upendeleo.
Swali lisilokuwepo, litajibiwaje🙄Jibu swali kwanza
Acha ukorofiKama akuweza kuwa rais duniani, mwenyezi ana makubwa na mipango yake inawezekana akapewa mbele ya safari
Hata Mama Samia, urais ulimtafuta akiwa zake huko Tanga kwenye majukumu yake ya kawaida! Kweli naamini sasa Urais wa Tanzania una siri kubwa ndani yake!!Salaam, Shalom!!
Tangu uhuru, wote walioutamani Urais, Urais uliwakimbia. Kwa kadri unavyozidi kuutamani Urais wa Nchi hii ambayo Nyerere alikuwa mwasisi wa mifumo ya uongozi na utawala, Kwa spidi hiyo hiyo ya kuutafuta, utateleza mikononi mwako usiamini kilichotokea.
1. Rais Mwinyi, hakuwahi kuutafuta Urais, Urais ulimtafuta.
2. Rais Mkapa hakujulikana, Wala hakuwahi kuutafuta Urais, Urais Ulimtafuta.
3. Rais KIKWETE hakutumia pesa kuusaka Urais, Urais ulimtafuta.
4. Kadhalika, Rais Magufuli pia hakuwahi kuota ndoto za Urais na kuzianika hadharani, Urais ulimtafuta Hadi Chato.
Hizi kelele za kuwa Marehemu Lowassa alisalitiwa na Rais KIKWETE ni unafiki tu, Urais hautafutwi Kwa pesa, na Urais haugaiwi kiurafiki Wala kindugu kwamba ukimaliza kula niachie nami zamu yangu!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].
Amen
Ni Kweli kabisa.Hata Mama Samia, urais ulimtafuta akiwa zake huko Tanga kwenye majukumu yake ya kawaida! Kweli naamini sasa Urais wa Tanzania una siri kubwa ndani yake!!
WamesemajeWamasai wamewajibu TULIENI
Uko sawaSalaam, Shalom!!
Tangu uhuru, wote walioutamani Urais, Urais uliwakimbia. Kwa kadri unavyozidi kuutamani Urais wa Nchi hii ambayo Nyerere alikuwa mwasisi wa mifumo ya uongozi na utawala, Kwa spidi hiyo hiyo ya kuutafuta, utateleza mikononi mwako usiamini kilichotokea.
1. Rais Mwinyi, hakuwahi kuutafuta Urais, Urais ulimtafuta.
2. Rais Mkapa hakujulikana, Wala hakuwahi kuutafuta Urais, Urais Ulimtafuta.
3. Rais KIKWETE hakutumia pesa kuusaka Urais, Urais ulimtafuta.
4. Kadhalika, Rais Magufuli pia hakuwahi kuota ndoto za Urais na kuzianika hadharani, Urais ulimtafuta Hadi Chato.
Hizi kelele za kuwa Marehemu Lowassa alisalitiwa na Rais KIKWETE ni unafiki tu, Urais hautafutwi Kwa pesa, na Urais haugaiwi kiurafiki Wala kindugu kwamba ukimaliza kula niachie nami zamu yangu!!
Wasaka Urais Kwa pesa, endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupata!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].
Amen
Hayo makelele yote yanayohusu kutengwa kwa Jk ,ndiyo majibu yenyeweWamesemaje
Huyo Mzee binafsi ktk hili la Lowassa anasingiziwa.Hayo makelele yote yanayohusu kutengwa kwa Jk ,ndiyo majibu yenyewe
Mkuu Rabbon unamtetea huyo mzee.Huyo Mzee binafsi ktk hili la Lowassa anasingiziwa.
Urais Huwa una TABIA ya kuvaa utelezi na kuwatoroka wote wautafutao Kwa bidii.
Pale IKULU hakuna biashara yoyote Hadi watu wapigane vikumbo kuusaka Urais!!
Ujumbe huu uwafikie wote wanaoumezea mate Urais wa Tanzania!!
KAZI aliyoifanya Magu Nchi hii Kwa muda mfupi inatosha kuthibitisha kuwa kamati ilituletea mtu sahihi.Ulipo tupo, wazee wa safari ya matumaini wakapiga hela halafu wanategemea mbeleko ya JK.
Yaani wamekula hela ya Mzee wakampa matumaini halafu wakamtegemea JK.