Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

C urembo bana ww vp
Ni urembo ndio ila kumbuka hata kula kuna utaratibu ukizidisha wavimbiwa, kunywa pia ukizidisha walewa.
Hata huo urembo ukizidishwa unaleta shida pia.
Utakuta mdada mrembo kama wewe amevaa jinsi limemkaa vizuri na kitop chake akiinama tu unaona burungutu la mashanga yamejisokota sokota kama uchafu. Ila umepangilia moja au mbili za kushika mm kaka yako utakaponitunuku tamuu aah inavutia.
 
Shanga ni pambo la mwili wa mwanamke kama yalivyo mapambo mengine (heleni, mikufu, vidani, nk).

Kuna shanga za shingoni, mikononi, miguuni na kiunoni. Zinazotia kiwewe na labda kueleweka vibaya ni za kiunoni.

Huku kwetu TZ, shanga huvaliwa ndani ya nguo, wakati Afrika Magharibi huvaliwa nje. Hivyo basi zile zinazovaliwa kiunoni ndani ya nguo uhusishwa na ngono, ambayo kwa kiasi kikubwa si kweli.
 
Jamani hivi uvaaji wa shanga ni ushamba wa kizamanii au ndo maraha? Natamani kuzivaa ila naogopa nitaonekana mshamba na nimezinunua tayari.

Ushauri wenu wa bure na sitaki matusi wala dharau kama vepe unaweza uka pita mdogo mdogo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ni pm......
 
kwa jina la heshima zinaitwa 'chachandu'
 
Jamani hivi uvaaji wa shanga ni ushamba wa kizamanii au ndo maraha? Natamani kuzivaa ila naogopa nitaonekana mshamba na nimezinunua tayari.

Ushauri wenu wa bure na sitaki matusi wala dharau kama vepe unaweza uka pita mdogo mdogo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Siku ukijua asili ya hizo shanga utaziogopa kama unavyomuogopa nyoka
 
Tafuta ya gold moja kali nyembamba inatosha hayo mashanga mengi kama mpiga ramli waachie waswazi.uchafu
 
Mh.
Juzi nikiwa na mamsapu wangu aliniuliza "unapenda siku moja nivae shanga kwa ajili yako kama navyo vaaga bkn? "
Ile kumalizia sentence yake nilikua nasisimka balaa.
Nadhani mnaelewa nilichokimaanisha especially @exceptionallady.

Cha kufanya hapo ni kufanya kama alivyofanya wangu kuepuka migongano na mtuwo.
 
vaa bhana n urembo, sema zisionekane kwa nje wala asione mwingne zaid ya mwenza wako,... shanga nzur sana ase
 
Back
Top Bottom