Pre GE2025 Uropokaji wa Tundu Lissu ni kilema hawezi kubadilika. Tumkatae kabla hajaleta maafa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
akiwa rais ataapa kulinda siri za nchi. Why aropoke kutoa siri za nchi wakati ana maofisa usalama wa taifa? Kwenye huu mtifuano ni kampeni tu ajiweke front vew kwa wapiga kura wake dhidi ya mpinzani wake
Kutunza siri sio ishu ya kiapo ni ishu ya maadili na hekma ambavyo vyote Lissu hana.
 
Lisu ni mkweli
 
Kutunza siri sio ishu ya kiapo ni ishu ya maadili na hekma ambavyo vyote Lissu hana.
Utunze siri za wala rushwa? Hiyo ni tabia na hulka ya CCM kwamba wezi na wala rushwa wanatakiwa kufichiwa siri na kuheshimiwa, sasa LISSU sio mtu wa aina hiyo ndiyo maana aliwalipua wala rushwa mbele ya bunge na hadharani, kiapo cha kutunza siri za wala rushwa na wezi ni cha CCM
 
Ukipata kusikia hiyo ya 2015 ndipo utahamishia Timu yake kabisa. Kilichofanyika na kukubali kutokubaliana ili taasisi iendeleee
Ya 2015 tuliyasikia yote nadhani umesahau Lissu alivyomshambulia Slaa kwa kumkataa fisadi Lowassa.
 
Kabla hajaanza kumuumbua dikteta uchwara Mbowe mbona haujawahi kusema Lissu ni mropokaji?
Alikuwa hana madhara kwa sasa anataka kuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani na mgombea urais.
 
Mla rushwa ni anayemkaribisha Abdul nyumbani kwake wakati anajua utaratibu wa kupata stahiki zake.
 
lissu ana hekima na busara, anajua nini ni cha kuongea na nini si cha kuongea
Lissu anatonywa kuna watu wanataka kukuua. Kesho yake anaenda kwenye media anatoa details za aliyempa information kuanzia identity yake mpaka movements za mtoa siri.
 
Asante sana tena sana. Nilidhani hili tatizo naliona peke yangu. Tundu Lisu yupo tayari kutoa siri za chumbani pale atapokosana na mkewe
Mkuu shukuru Mungu amekujalia upeo wa kuona kile ambacho wengine hawana ubavu wa kukiona.
 
Alikuwa hana madhara kwa sasa anataka kuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani na mgombea urais.
Keahiyo mnataka watu wasio na madhara na chawa wa dikteta mbowe ndo waendee kugombea nafasi za uongozi
 
Mla rushwa ni anayemkaribisha Abdul nyumbani kwake wakati anajua utaratibu wa kupata stahiki zake.
We jamaa kichwa chako kina tobo mahali hivyo ubongo unabunguliwa, mbona maelezo ya jambo hili yamenyooka kabisa na wala hayahitaji mjadala huwa nashikukushangaa unatabu gani kujifanya hujui abdul alifikaje kwa lissu
 
Mkuu shukuru Mungu amekujalia upeo wa kuona kile ambacho wengine hawana ubavu wa kukiona.
Yani wewe hapo ulipo na ukoo wako wote mkusanye hadi vitoto vidogo hadi mimba lakin bado hamuwezi kufikia hata robo ya uelewa wa mambo alio nao tundu lissu, unapamba kumachafua mtu ambaye hachafuliki kwa namna yeyote ile.
 
Hata yeye hajipendi, sisi tunataka awe mwanacha mtiifu, uongozi hawezi.
Hana break.
 
Kwani wewe hujui watu wa huo ukanda ni waropokaji na wenye viburi?hukimbilia yule jamaa aliyesema kama hamtaki kulipa kodi mhamie Burundi?mmemsahau huyo profesa mlopokaji?hiyo ndio hulka ya watu wa ukanda huo.ai wanawake si wanaume wote ni hali moja.
 
Mkatae mzazi wako aliyebakwa ukatoka wewe
 
Kwa Tanzania, hutakiwi kuwa mkweli sana, ndiyo majina hayo mnayompachika, mara mropokaji, mpayukaji nk. Kisa kasema ukweli uliopitiliza. Mngesema, uongo wake kwa mifano na tukio, sio kumtukana. Hata aliporipoti taarifa za kufuatiliwa na watu wasiojulikana kabla ya kushambuliwa mlimsema na kumbeza. Ameshambuliwa leo mnamkejeli anakwenda Ubelgiji kutalii wakati mtu ana vyuma mwili mzima. Msiwe wanyama kuliko wanyama wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…