Pre GE2025 Uropokaji wa Tundu Lissu ni kilema hawezi kubadilika. Tumkatae kabla hajaleta maafa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
H
Hakika umeongea. Mtu anayetoa taarifa za vikao vya siri hadharani huyo hafai kuwa kiongozi. Chadema waache kuhemshwa na egostic behaviour ya huyu jamaa.
 
Asante sana tena sana. Nilidhani hili tatizo naliona peke yangu. Tundu Lisu yupo tayari kutoa siri za chumbani pale atapokosana na mkewe
Endeleeni kujitekenya na kucheka. Kibali kipo kwa Lissu. Na hakuna mtu wa kukiondoa hadi kusudi litimie. Ndiyo maana mnaweweseka tu muda wote Lissu, Lissu. Tambueni tu mioyo ya watanzania wapenda mabadiliko ipo kwa LISU.
 
Lissu anatonywa kuna watu wanataka kukuua. Kesho yake anaenda kwenye media anatoa details za aliyempa information kuanzia identity yake mpaka movements za mtoa siri.
hapo huwa anafanya makusudi ili maadui zake wajue kuwa habari anazo wasitishe mipango yao
 
Kwa hiyo akina Mbowe hawana akili kama hiyo ndo sababu iliyowasukuma kuweka mgombea wa hivyo
Wana akili sababu wanajua kutumia vipaji kwenye chama. Ukiwa na kipaji cha kuropoka utatumika mazingira yanayohitaji mropokaji.
 
Keahiyo mnataka watu wasio na madhara na chawa wa dikteta mbowe ndo waendee kugombea nafasi za uongozi
Lissu nae ni mgombea wajumbe wataamua nani anafaa kuongoza chama.
 
We jamaa kichwa chako kina tobo mahali hivyo ubongo unabunguliwa, mbona maelezo ya jambo hili yamenyooka kabisa na wala hayahitaji mjadala huwa nashikukushangaa unatabu gani kujifanya hujui abdul alifikaje kwa lissu
Abdul alikaribishwa na Lissu nyumbani kwake wakae waongee. Abdul akuvamia nyumba ya Lissu.
 
Pumbavu ,wewe apa ujaropoka , uzwazwa nchi hii ni mwingi sana , unaowaona ni wamaana kwako watakufa na kumuacha lissu
 
H

Hakika umeongea. Mtu anayetoa taarifa za vikao vya siri hadharani huyo hafai kuwa kiongozi. Chadema waache kuhemshwa na egostic behaviour ya huyu jamaa.
Nguvu ya kumtaka Lissu ipo zaidi nje ya chama, naamini chama kinaenda kufanya maamuzi sahihi ya kutuondolea huyu mropokaji.
 
Zitto kabwe, dr. Slaa, mdee, bulaya, now ni Tundulisu...
Kuna kitu hakipo sawa na wafia timu moja! Mkipewa nchi itakuaje? Hamtobadili katiba ili kuweka kiongozi kama rais kutokuwa na ukomo wa madaraka? Vipi wananchi ? Wanaanzaje kuwa na imani na nyie ?
Wafia mtu hawaonj kuwa chama kinadidimia , CHADEMA ya zamani sio kama hii, watu wengi wenye ushawishi wanaondoka kwa sababu ya nyie wafia mtu na sio chama!
Chama ni taasisi na sio mtu!
Ukimnyooshea CCM kidole na wewe pia unapaswa kujiangalia kama upo sawa!
 
hapo huwa anafanya makusudi ili maadui zake wajue kuwa habari anazo wasitishe mipango yao
Sio makusudi kile ni kilema hajui nini cha kubakisha anapoongea akiona mic anapandwa na midadi.
 
Mimi ni timu Lisu lakini kiukweli Lisu apunguze kidogo kumjibu mbowe na mafisadi wengine ajikite kwenye mikakati ya kujenga chama.
 
dili na mond tu huku kwa LISSU achana nae
 
Chadema chini ya Lissu akiwezi kuwa chama kitakuwa kikundi cha vurugu.
 
Lilikuwa Dili la mwenyekiti
 
Lissu anatonywa kuna watu wanataka kukuua. Kesho yake anaenda kwenye media anatoa details za aliyempa information kuanzia identity yake mpaka movements za mtoa siri.
Alimuuliza lakini kama anaweza kuliweka public...Hebu sema siri ya nchi aliyo expose Lissu public nasisi tuijue labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…