Pre GE2025 Uropokaji wa Tundu Lissu ni kilema hawezi kubadilika. Tumkatae kabla hajaleta maafa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bila machafuko hatuwezi kupata mabadiliko. Hivyo Lisu anatakiwa sana kwa sasa kwa ajili ya mabadiliko.
 
Hivi ati Lissu na Magufuli nani mropokaji zaidi?
 
Mtu wa aina hiyo hawezi kuongoza Chama cha siasa maana kwa uropokaji huo kitakiuka taratibu na kufutwa.
 
Ulishamhoji akakujibu?.
 
Nawe Kilema Chako Ni Cha Kukataa Wenye Vilema Vyao.
 
Bila machafuko hatuwezi kupata mabadiliko. Hivyo Lisu anatakiwa sana kwa sasa kwa ajili ya mabadiliko.
Okay kama mnataka kumtumia kuwasha moto wa machafuko basi mmeshachelewa hawezi fanikiwa kashadhibitiwa.
 
mdahalo na waropokaji ni makelele na fujo ,

ni kupoteza muda tu 🐒
Makelele unayo wewe unaekuja humu kila siku kubwabwaja na wala hicho unachokizungumzia hakijulikani labda unafiki.
 
Huyu ni joshuea while mbowe ni must je hii equation tunaimqlizaje. Maana hata joshua hakufika
 
Kwangu bora Mropokaji kuliko anayewapiga wanachama mnada kimia kimia , unajiona upo na kadi ,unalipa ada ,kumbe umeuzwa mda mrefu ,kama sio kwamba umeisha wekwa mnadani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…