Urusi huenda imebakia na nguvu ya mashambulizi kutoka angani tu, ardhini pumzi imekata?

Kwani we vita unailewaje, unadhani ni kupaka rangi Majumba eti? Huwezi kusema eti Urusi hajui vita, Angalia kwanza mechi zake. Angalia ambavo USA anaenda kwa heshima sehemu alipo Urusi.
 
Wewe bado hukunijibu, jibu ni kwamba ukiwa na dola 100 unaweza kujihudumia na kujikidhi zaidi ukiwa China kuliko USA.

China wana Purchasing Power kubwa kuliko USA, hivyo hizo namba andika tu kwenye karatasi, thats why production ya viwanda vikubwa vyote vipo huko China, cause kuna skilled but cheap wafanyakazi.

Ndege ya Russia yenye capability sawa na US lazima ya US itakua bei juu.

Kwa hio hizo namba zisikutishe mkuu.
Hizo budget zisikutishe, Russia na budget yao ndogo wana silaha zote aambazo US anazo.

Halafu kingine USA ana base nyingi zaidi duniani duniani, lazima budget yao iwe juu.

Achana kabisa na kitu inaitwa PPP.

So nikuambie tu Russiaa na budget yake ndogo kiulinzi anaingia vitani na US na mshindi haonekani, sasa unambie hizo namba kazi yake nini hasa?
 
Eti Russia kawekewa vikwazo kwenye nini?Sasa kwa nini EU inalalamika kununua kwa pesa ya Russia bidha ambayo imezuiwa kutoka nje ya Russia?.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukizama sana huku tutoka nje , PPP ina uhusiano wa moja kwa moja na GDP ya taifa , utakuta taifa lama Luxembourg wako pazuri kuliko china au USA

Inawezekana kweli technology aliyo nayo USA na Mrusi anayo, lkn n katika kiwango kipi? Na pia uwezo wa kupigana, Russia akapigana na USA leo , vita itapigwa hapo hapo Urusi, marekan yatapigwa maslah yake tu ila yenyewe iko salamaa
 
Eti Russia kawekewa vikwazo kwenye nini?Sasa kwa nini EU inalalamika kununua kwa pesa ya Russia bidha ambayo imezuiwa kutoka nje ya Russia?.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mtu alie lalamika , hiyo sehem haipo , watu wamekumbushwa tu Biashara itafanyika kama tulivyo afikiana kwenye mikataba na sii vinginevyo
 
Acha uchizi wewe yani vita ya Urusi na marekani ipiganiwe Urusi peke yake?.Icbm ujui kazi yane nini.Urusi ikiwa inawaka moto basi marekani itakuwa ishakuwa majibu
 
Hakuna mtu alie lalamika , hiyo sehem haipo , watu wamekumbushwa tu Biashara itafanyika kama tulivyo afikiana kwenye mikataba na sii vinginevyo
Kwa nini biashara iendelee kufanyika wakati imezuiwa kutoka kwa vikwazo?.Au wewe unaweza kufanya biashara ambayo haipo?.
 
Kwani we vita unailewaje, unadhani ni kupaka rangi Majumba eti? Huwezi kusema eti Urusi hajui vita, Angalia kwanza mechi zake. Angalia ambavo USA anaenda kwa heshima sehemu alipo Urusi.
Jeshi la Ukraine limefundishwa na Marekani baada ya kuvamiwa Crimea, angalia linavyowachachafya warusi. Hujawahi kusikia hata siku moja General wa Jeshi la Marekani anauwawa vitani au kushikwa mateka. Kama uko karibu na askari yeyote wa JWTZ mwulize maana ya kamanda cheo cha kanali au General kuuwawa vitani. Kurusha makombora ya mbali siyo ujuzi wa vita.
 
Luxem kuwa tajiri inachangia na watu wachache walio nao, nchi ina watu laki sita.

Kama nilivyokuambia ogopa nchi ambayo ina PPP kubwa.

Ipo hivi, Russia akiivamia USA hawezi kushinda, na US wakiivamia Russia hawatoshinda.
Sana sana wakianza missile, naweza sema Russia kwenye ulinzi wa anga wapo vizuri sana.

US kwenye teknolojia ya missiles yupo vizuri mno.

Kwa hio vita ni ngumu, sana sana wataiharibu dunia na mshindi hatokuwepo.
 
Ukifuatilia tangu awali urusi alisema anamalizana na Ukraine mapema sana na sasa umekatika mwezi. Kwa nini nisiamini kwamba Ukraine anaweza kushinda maana sijaona cha ziada kwa urusi zaudi ya kulipua makazi ya watu na baadhi ya wanajeshi wa Ukraine kuuwawa. Pamoja na hayo bado Ukraine inaua wanajeshi wa urusi na pia vifaa vyao vya kivita vinahatibiwa kila siku.
 
Story yako kama ya mshauri mmoja wa kilimo cha matikiti niliekutana nae mwaka jana nilivyoingia fiel mambo yakawa tofauti kabisa alinitia hasara. Mshenzi yuleeee mill 4 zilienda na maji
 
Sio ishu ya kushinda wala kushindwa.

Ishu ni kuipunguza Ukraine nguvu za kijeshi na kuondoa uongozi wa unazi.

Hakuna sehemu Russia walisema specific ni muda gani watatumia kumaliza mission, wala ishu ilikuwa si kuitawala Ukraine.

Nambie nu wapi Russia walisema wataipiga Ukraine within a week or two days or specific time walitaja?

Vitu vingine ni propaganda za west kujipa hope na kudanganya watu kwamba Russiaa ni ya kawaida.

Na wewe nikuulize toka vita imeanza kwa nini hata missile 1 haijafika Russia toka Ukraine?
 
MAIKI TUNAIPELEKA KWA WARUSI WEUSI WAMATUMBI WENZETU NDUGUZE NA PUTIN WAJUKUU WA GOBACHEV[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1] umeifanya siku yangu. Watu walikuwa na data za ushindi wa Russia kama walikuwepo kwenye kikao cha ukoo...
 
UK alijitoa EU wala si NATO, huna haki ya kuandika chochote humu usichokijua bila ya ushahidi sahihi.
 
Nikishasikia mtu anajenga hoja kwa kutumia neno 'Western propaganda' naachana nae.
Mission ya Russia ni kuivamia Ukraine, hakuna sehemu Ukraine amesema anataka kuisambaratisha Russia kwa kutumia missile bali wamesema watajilinda dhidi ya uvamizi. Ndio maana battle field imekuwa hapo Ukraine.
Ndio maana Ukraine imewaacha wanajeshi wa Russia waingie Ukraine ili wachapike vizuri.
Kiuhalisia Ukraine hana uwezo wa kuivamia Russia ila mbinu za Russia kuivamia Ukraine ndizo zimewafanya wachapike vizuri.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…