ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Kama Russia akiwapokea Waisrael 1.5M kati ya 7.5M maana yake MOSSAD & IDF wameanza ku operate na kutumia fursa ya kuungwa kwao mkono kimataifa hadi na washirika wa adui zao. Si ajabu kesho Marekani aseme ana raia wao 2.5M. Hao wengine 3.5 nao kwa njia hiyo wakapewa pass za kwenda UK, France, Canada, Australia n.k hapo Israel pakatumiwa kama nuclear battle field dhidi ya Iran ambao kama hawana tunnels za kuwatoroshea nchi jirani sijui wataponaje. Inshort waisrael 1.5M wamepata hifadhi Russia, watarudi baadae kusafisha nchi na kuijenga upya tena kwa ukubwa wa eneo na kusitawi sana. Yupi aliyejitokeza kusema ana raia wake Iran na anataka kuwachukuwa?