Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

Netanyahau kapiga ndege mbili kwa Jiwe moja...

Nashrallah was good leader kwa Watu wake..

Imagine kifo chake kimekuwa na Domino effect Syria na Lebanon
 
Assad baada ya kuona namna Gaza na Lebanon ilivyosambaratishwa vibaya, ni wazi akajua safari hii hatoboi tena.
Hizo fikra zako Assad kauzwa na Sunni na Jeshi lake pia kulikuwa hamna vita ni mapinduzi jeshi lilikataa kupigana unajua kama Assad no Shia na Syria 75% ni Sunni maana hapo Qatar, Saudia. Uturuki, Oman, Jordan, Kuwait wamehusika kulikuwa na vikao kati ya Saudia na Urusi, nakupa darsa.
 
Netanyahau kapiga ndege mbili kwa Jiwe moja...

Nashrallah was good leader kwa Watu wake..

Imagine kifo chake kimekuwa na Domino effect Syria na Lebanon
Syria, iko kwenye pwani ya mashariki ya bahari ya Mediterania. Inapakana na Uturuki upande wa kaskazini, Lebanoni na Israel upande wa magharibi na kusini-magharibi, Iraq upande wa mashariki na Jordani upande wa kusini. Sasa kila nchi ambayo imebakana nayo inahofia mtawala wa hapo atakua nani? Israel bado ana wasiwai anakuja kutawala Syria ni Sunni kama Hamas.
 
Kwa hiyo umefurahi kuanguka kwa utawala wa Assad uliokuwa unaungwa mkono na Russia, Iran, Lebanon?

Kama ni kweli basi rasmi wewe ni mfuasi mzuri wa NATO.
Unaniuliza maswali ya kishoga kisha unajijibu mwenyewe😂
 
Sasa embu tuambie mleta mada, kipi ni kipi:
1. msaada wa Iran, Russia umeshindwa kumsaidia Assad kubakia madarakani, ama

2. Utawala wa Assad ulikataa msaada wa Iran na Russia, ama

3. Iran na Russia wametema bungo, wamemsaliti Assad kwa kumnyima msaada?
 
Hujui maana ya demokrasia
 
Hao Waasi wa Syria Wana deni kubwa lisilolipika Kwa Israel na Netanyahau.

Hadi Jana Usiku Israel imefanya Mashambulizi ya anga dhidi ya vituo vya Kijeshi vya Assad vyenye Silaha hatari na za sumu.

Israel imeshambulia vituo vya Kijeshi vya Iran na Wanamgambo wake walioko Syria.

Hadi Jana Usiku Israel imeshambulia vikosi vya Hezbollah vilivyokuwa ndani ya Syria

Israel imeidhoofisha sana Hezbollah, Israel ilitoa Onyo kwa Iran siku kadhaa nyuma kama italeta ndege yoyote ya Silaha Syria itaiangusha.
 
Hizi facts na dots huwezi kumuona Ritz akizisema, anaogopa na kuona aibu.
Hataki kusikia kabisa kuhusu nguvu ya Israel katika kuungamiza utawala wa Assad.
 
Operesheni hii ya waasi wa Syria ilikuwa tofauti na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu Marekani iko mashariki mwa Syria na walizuia uimarishaji wowote kutoka Iraq na Iran kusaidia serikali ya Syria.
Kwa hivyo USA walivyozuia huo upande wa Mashariki mwa Syria kima yoyote asiingie kumsaidia Assad, na hao kima wote wakanywea! Yaani Iran, Hezbollah, Russia wakaona watii amri ya USA?
Kama ni hivyo unashindwa nini kukiri tu, mbele ya USA na NATO hakuna wakuwazuia kijeshi middle east. Sio Russia wala Iran mwenye uwezo wa kuhimili mikiki mikiki ya middle east.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…