Hy story ya mchina sijaipata mkuuNchi za kikomunist Kuna stigma Moja hatari Sana na ndo maana raia wake wako wengi royal Sana na nchi zao.
Sio kwamba Ni wanapenda,
Bali Huwa wanawaza kua wakimess-up , watavikost Sana vizazi vyao vingi vijavyo
Viongozi WA kikomunist wakiamua kudili na Wewe PERPENDICULAR, Visasi vyao Huwa vinaenda Hadi kwenye familia Yako ulikotoka,wanaUKOO wako na vizazi vingi vijavyo vinavyotumia jina lako.
Katika Hali Kama hiyo,
Siku ukitaka kufanya ujinga, itabd kwanza uwawazie unaowaacha kuliko kujiwazia Wewe mwenyewe.
MKUU, UMEKUMBUKA ILE STORY YA MCHINA KUJINYONGA, KISA KAJENGA DARAJA AFU LIMEBOMOKA?
Sera za yule mzee ndo zilizaa kina Zelensky na wenzake kina Finland n.k SAHIVI WANALIA NA WANAJUTAMtu analitiaje moto pori analoishi na wanafamilia wake kwa harakati za kuambiwa na zitokazo nje ya hilo pori ?!!
Kwanini tuamini warusi wanaaminishwa kuwa yule mzee ni mbaya na kwanini tuamini hakuwa mbaya kwa taifa lao ?!!yule mzee mpk anakufa alkua anaamini mawazo yake yalikua sahii kuwapa warusi demokrasia, Ila kina Medvedev na Putin walimwona kama snitch Moja mbaya sana, na warusi wote wakaaminishwa yule mzee ndo adui namba Moja wa warusi na nchi ya URUSI.
....umeona sasa madhara ya alichokisambaza Gorbachev ?!! Ha ha haSera za yule mzee ndo zilizaa kina Zelensky na wenzake kina Finland n.k SAHIVI WANALIA NA WANAJUTA
Yule mchina alipewa kandarasi ya DARAJA (DARAJA kilombero nahisi), afu likabomoka Hata halijazinduliwa na Magufuli, mchina akaamua kujitundika kitanzi.Hy story ya mchina sijaipata mkuu
Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera.
Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao hawawezi kutii matakwa ya IMF pamoja na World Bank kwa maana ni Political Tools za NATO na EU??
Inakuwaje Russia mjamaa akawa na mfumo wa vyama vingi kama Marekani bepari badala ya yeye (Russia) kuwa chama kimoja kama mjamaa wenzie China??
Story kama h nliwah kuiskia kwa wale wachina waliojenga uwanja wa Taifa kwamba haupo standard kama nchi ya China ilivyotarajia hvy majamaa haijulikani mpaka sasa wako wapi, h n kipindi kile taifa imeznduliwa.Yule mchina alipewa kandarasi ya DARAJA (DARAJA kilombero nahisi), afu likabomoka Hata halijazinduliwa na Magufuli, mchina akaamua kujitundika kitanzi.
Story behind: Ni kua kufeli kwake Ni kufeli Kwa serikali ya kikomunist ya china, na hiyo itaenda kuicost familia yake Hadi UKOO wake na wengine WASIO na hatia.
Stress zilipelekea mchina akaamua kujitoa uhai kabisa
Yule mzee ni kama alikua anaujaribu mfumo WA vyama vingi kuona mwitikio wake Kwa raia wake,Kwanini tuamini warusi wanaaminishwa kuwa yule mzee ni mbaya na kwanini tuamini hakuwa mbaya kwa taifa lao ?!!
Ni balaa Tupu mkuu, demokrasia imeleta ghasia....umeona sasa madhara ya alichokisambaza Gorbachev ?!! Ha ha ha
....ukiiangalia juujuu utauona uzuri wake...ila "deep down" baadhi ya hao waitwao wanademokrasia wa vigezo vya wazungu huwepo kutengeneza njia za maslahi ya kiuchumi ya makampuni makubwa duniani na aghalabu usambazaji utamaduni wa wengine hasa ule kinzani na asili za watu.....Ni balaa Tupu mkuu, demokrasia imeleta ghasia
Sahii kabisa mkuuUrusi ilibidi ikubali mfumo wa vyama vingi na kukubali states zake kujitenga na USSR ili ipewe msaada na Marekani na WB. Miaka ya 1990, Urusi ilikuwa kwenye hali ngumu sana ya uchumi.
Hata hivyo, mfumo wa vyama vingi nchini Urusi, upo unakaribiana na wa Tanzania. Wakati hapa kwetu viongozi wa vyama vya upinzani wanatekwa, wanauawa , wanapotezwa na kubambikiwa kesi na chama tawala CCM, Putin kule Russia, viongozi wa upinzani, yeye hawateki kama inavyofanya CCM hapa kwetu, yeye anawaweka jela kwa miaka mingi kupitia mahakama zenye uhuru bandia kama za hapa kwetu.
Russia has received aid and grants from various countries and organizations, including the United States through programs like the bilateral aid program for Russia and the former Soviet republics, and from the World Bank for international development assistance.
Here's a more detailed breakdown:
- United States:
- The United States announced a bilateral aid program of $1.8 billion for Russia and the former Soviet republics.
Ha ha ha kazi yake inaendelezwa na Zelensky.....Yule mzee ni kama alikua anaujaribu mfumo WA vyama vingi kuona mwitikio wake Kwa raia wake,
maana kabla ya hapo urusi na USA walikua maadui wakubwa sn tangu enzi za cold war.
Pia aliamini, uadui na usa sio njia ya kyikuza urusi kiuchumi na kimaendeleo.
Ndo yule mzee akaanza safar nyng za USA, na ndipo vinchi vya mipakani vingi vikaanza vuguvugu la kujitenga.
Na kwaSababu mzee ndo alkua madarakani na Hakua na noma, Basi akaruhusu wanaotaka kujitenga na wajitenge, wakaanze maisha Yao.
Na kibaya zaid wote waliojitenga wakawa marafiki WA USA, adui Yao namba Moja.
Hiyo kitu ndo ilileta shida sn maana warusi asilia wakaona Kama adui Yao ni kama anawasogelea mdomoni.
Na katk kujitenga, nchi zilizowauma Sana wasovieti kujitenga, ilkua Ukraine.
Maana kule ndo kulikua na viwanda vyaovingi, na ardhi nzur sn yenye rutuba, Hadi mitambo ya nyuklia.
Mwanzoni kabisa,....ukiiangalia juujuu utauona uzuri wake...ila "deep down" baadhi ya hao waitwao wanademokrasia wa vigezo vya wazungu huwepo kutengeneza njia za maslahi ya kiuchumi ya makampuni makubwa duniani na aghalabu usambazaji utamaduni wa wengine hasa ule kinzani na asili za watu.....
yHa ha ha kazi yake inaendelezwa na Zelensky.....
Inasikitisha sana mkuu 😎
....kwa uhalisia huu akina Putin , Medvedev na compatriot wao walikuwa mbele ya muda aliokuwa nao hayati Gorbachev....ha ha haZelensky nae saivi anajuta, maana trump keshamwambia live, madini yote keshachukua na kilichobaki Sasa Ni kukaa na Putin kuona jinsi gani wanaigawana ardhi ya Ukraine, Kila mmoja afe na chake
y
Hakika....Mwanzoni kabisa,
Lengo la ulaya (enzi hizo wababe Ni kina england na German) (Hata kabla ya scramble &partion of Africa) lilikua Ni kuigawa urusi yote ili waweze kuchota madini,mafuta na rasilimali zote muhimu Kwa ajili ya maendeleo yao .
Maana urusi ilikua Ni nchi kubwa Sana jirani kuliko Hata Africa, mchongo ulivobuma Sababu ya UMOJA wao, ndo wakaenda kukaa Ile Berlin conference, na kuamua kukimbilia Africa.
Baada ya WW2, wababe WA ulaya (German na england) wakawa wamechoka kiuchumi na kijeshi. Akaibuka supa pawa mpya ambaye Ni USA.
USA nae mate yakawa yanamtoka sana, nae anaitamani Russia Kwa hamu. Ndipo CIA wakaa Kaa na kuunda mpango kabambe WA devide&rule kupitia mgongo WA demokrasia pamoja na pesa za mikopo ya imf (maana kipind icho RUSSIA Hana MDA katoka vitani na Hitler, ana Hali mbaya kiuchumi)
Lengo ni USSR ivunjike afu vile vipande, wao wavitumie kujinufaisha kiuchumi (kuchota rasilimali).
Ndipo yule mzee akiwa Raisi, akauvaa huo mkenge na urusi ikagawanyika
Hakika....
Pamoja na kuwa humo mkengeni....ninaamini alikuwa "kazini" kuupika huo mkenge wenyewe....ha ha ha
Ubeberu ni hatari sana....
....kwa uhalisia huu akina Putin , Medvedev na compatriot wao walikuwa mbele ya muda aliokuwa nao hayati Gorbachev....ha ha ha
Inawezekana kwa kweli....Huenda Ni kweli mkuu,
maana kipind akiwa Raisi aliishi kimarekani zaidi (alivaa American brands, na kuenjoy American freedom life style yeye na familia yake)
Uhuru WA manyani ambao ktk falsafa za kikomunist hazikuendana nao, Ila alipotoka madarakani, stigma aliyokutana nayo uraiani, alijuta Sana na inasemekana (Kuna kipind alinusurika kujiua)