Hii uturn walopiga mabeberu ni hatari.Wagner wameteka Command Centre ya jeshi la Urusi kanda ya Kusini. Kamandi hii ndio inayohusika kutoa amri kwa wanajeshi wa Urusi wanaopigana nchini Ukraine. View attachment 2667308View attachment 2667309
Hakumbuki kuna aliyemlea Gorbachev alitolewa pale kibingwa miaka ya 90.Kwa kifupi Putin siku zake zinahesabika ameamua mwenewe kumaliza vibaya
Lukashenko amekimbilia Uturuki, Medvedev na familia yake wamekuwa evacuated kutoka Moscow, Putini ameelekea St Petersburg na wanajeshi wengi wa Urusi wanaungana na Wegner tuendelee kula mtori nyama zipo chini;Magari ya Deraya/Armoured vehicles yaonekana mitaa ya Rostov Oblast, Russia baada ya tamko la kutangazwa kwa vita Dhidi ya Urusi la kiongozi wa Wagner mercenaries:
Mytake: Putin haaminiki hata na washirika pamoja na wananchi wake.
Armoured vehicles spotted on streets of Rostov after Prigozhinâs statement
Photos of armoured vehicles on the streets of the Russian city of Rostov-on-Don are being posted on Russian social media following the statement made by Yevgeny Prigozhin, leader of the Wagner Group, about a de facto declaration of war against the Russian army. Checkpoints are being set up at...www.pravda.com.ua
MmmhLukashenko amekimbilia Uturuki, Medvedev na familia yake wamekuwa evacuated kutoka Moscow, Putini ameelekea St Petersburg na wanajeshi wengi wa Urusi wanaungana na Wegner tuendelee kula mtori nyama zipo chini;
Ila imekuwa ghafla sana tofauti na matazamio.So sad
Bandari tunajadili kule kwenye jukwaa la Siasa,hapa tupo International forum,tunajadili maswala ya Kimataifa na hasa kinachoendelea Russia.tujadili.bandari.yetu
prigo hafikishi kesho MTU fani yake mpishi atapambana.na.jasusi
Hapo sasa ndipo Putin watamkumbuka UKWizara ya mambo ya nje ya Uingereza imeonya kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa hatari ya machafuko kote nchini Urusi, Taarifa ya London inakuja wakati huu pia ikitoa tahadhari kwa wasafiri baada ya Kundi la Wagner kudaiwa kuteka baadhi ya maeneo nchini Urusi.
Serikali ya Uingereza iliendelea kushauri dhidi ya safari zote kwenda Urusi.
If wagner wakashindwa ktk hili jaribio lao, ni ngumu wao kuendelea pale Ukraine. Kazi rahisi kwa Ukraine kurejesha ardhi yao.Mkuu zile apdeit kuhusu waasi walio kuwa wanasonga mbele kuelekea Moscow ziliishia wapi?
Japo siwapendi mashoga ila Putin ni mjinga sana. Endelea kutuletea taarifa hizi nzuri mkuuWagner wameteka Command Centre ya jeshi la Urusi kanda ya Kusini. Kamandi hii ndio inayohusika kutoa amri kwa wanajeshi wa Urusi wanaopigana nchini Ukraine. View attachment 2667308View attachment 2667309
Kuna mdada hapo mzuri kweli hata haogopiWagner wameteka Command Centre ya jeshi la Urusi kanda ya Kusini. Kamandi hii ndio inayohusika kutoa amri kwa wanajeshi wa Urusi wanaopigana nchini Ukraine. View attachment 2667308View attachment 2667309
Unajua tofauti ni kwenye institutions. Marekani haindeshwi kwa amri ya rais bali wanafuata institutions zilizopo kikatiba. Ila Urusi na nadhani hata China wao wanafuata amri ya rais; hapo ndipo tofauti ilipo. Kwa marekani Rais akipata kikohozi, nchi bado itaendelea, lakini kwa Urusi na China rais akipata kikohozi basi nchi yote nayo inapata kikohozi.
Ni idadi ndogo saaana ya wanajeshi.Ndani ya Urusi kuna zaidi ya wanajeshi laki sita ambao hawajihusishi kabisa na vita ya Ukraine.
Lukashenko nini kinamkimbiza wakati nchi yake haina vita? Huyu ni kibaraka wa Putin, tena Jeshi lilipaswa kumwambia asirudi nchini humo.Lukashenko amekimbilia Uturuki, Medvedev na familia yake wamekuwa evacuated kutoka Moscow, Putini ameelekea St Petersburg na wanajeshi wengi wa Urusi wanaungana na Wegner tuendelee kula mtori nyama zipo chini;
Ila imekuwa ghafla sana tofauti na matazamio.So sad
Baki hapahapa utaelewa.Asee wakuu mm sijaelewa vizur nn kimetokea wagner kuwa against Russia wakat walikuwa wanatumiwa na puttin..nielekezeni wazee wa anga za kinataifa.
Mkuu upewe maua yako.Rasmi: Wagner wamedhibiti 100% ya mji wa Rostov. Mkuu wa Wagner ateua Meya na Gavana mpya wa mji wa Rostov. Usafi umeanza kufanywa barabarani ili kuusafisha mji. View attachment 2667315