Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Hizi habari mlisema wakati operation inaanza, lakini matokeo mliyaona. Urusi sio zimbabwe ilo lazima mlijue.. sasa kama Nato ameshindwa, wataweza Wagner? Vituko hiviIlikuwa ni ujinga na upumbavu mkubwa watu kushabikia kuwa NATO amefyata mkia kwa Rusdia.
Tuliwaambia NATO anapigana akiwa amekaa mezani na kunywa mvinyo...pro Putin walitutukana sana.
Hadi sasa uchumi wa Russia utayumba zaidi ya miaka 20 ijayo.
Putin hana uhakika kuwa salama hadi muda huu na ujao.
Tusubiri na tuombe uzima...nahisi Nato wako bega kwa bega na Wegner
Hivi wagner unahisi watachukua nchi kweli like seriously [emoji23][emoji23][emoji23]Putin akichomoka na hapa nitamuona noma
Best wake anamsaliti. [emoji7]
Mkuu kitulize, Russia si walisema oparesheni ni ya masaa 24? Au mmesahau?Hizi habari mlisema wakati operation inaanza, lakini matokeo mliyaona. Urusi sio zimbabwe ilo lazima mlijue.. sasa kama Nato ameshindwa, wataweza Wagner? Vituko hivi
Huenda watu hawamtaki tena Put-inNa kinachoogopesha mpaka Sasa hivi wamebakisha kilometer 320 kufika Moscow na hawakutani na upinzani mkubwa inaonekana hata jeshi limeasi kimya kimya.
Sad indeed....Lukashenko amekimbilia Uturuki, Medvedev na familia yake wamekuwa evacuated kutoka Moscow, Putini ameelekea St Petersburg na wanajeshi wengi wa Urusi wanaungana na Wegner tuendelee kula mtori nyama zipo chini;
Ila imekuwa ghafla sana tofauti na matazamio.So sad
Trump hawezi kurudi ikulu tenaTrump anarudi White house.
Msimamo wake ni:
1. Mungu aliumba mwanaume na mwanamke tu
2. Hakuna kitu kinaitwa wrong gender
3. Hataki vita.
Hivyo ushoga utakosa msukumo
Shemu wacha waipate wamewatesa sana watoto na wanawake wa UkraineSad indeed....
Bro. Trump anaungwa mkono kuliko wagombea wote US fuatilia midia zao.Trump hawezi kurudi ikulu tena
That nigga is coward with no intellect
Mkuu ni kweli?Lukashenko amekimbilia Uturuki, Medvedev na familia yake wamekuwa evacuated kutoka Moscow, Putini ameelekea St Petersburg na wanajeshi wengi wa Urusi wanaungana na Wegner tuendelee kula mtori nyama zipo chini;
Ila imekuwa ghafla sana tofauti na matazamio.So sad
Sio vta tuu lolote ili ufanikiw lazm uwe/utafuta taarfa sahihiSasa nimeamini vita sio yale machuma yaliyopewa jina la mabomu.
Vita ni intelligence
Naumia shem hujui tu nakuona unavyosherehekea taarifa nitafikisha kwa wazee...Shemu wacha waipate wamewatesa sana watoto na wanawake wa Ukraine
Sio utani ni taarifa sahihi kabisa kwa Sasa wakuu wa serikali na utawala wote wanaelekea St Petersburg inaonekana Moscow pameshakuwa pagumu.Mkuu ni kweli?
Mkuu usipuuze vita yoyote lolote laweza kutokea, ninaangalia hapa Rostov Qegner hawajapata upinzani wowote, hii inamaanisha jeshi limewaunga mkono.Hivi wagner unahisi watachukua nchi kweli like seriously [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa watawala wa Urusi hakika siwaungi mkono, waliwatesa na kuwaonea raia.Naumia shem hujui tu nakuona unavyosherehekea taarifa nitafikisha kwa wazee...