Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Ilikuwa ni ujinga na upumbavu mkubwa watu kushabikia kuwa NATO amefyata mkia kwa Rusdia.
Tuliwaambia NATO anapigana akiwa amekaa mezani na kunywa mvinyo...pro Putin walitutukana sana.

Hadi sasa uchumi wa Russia utayumba zaidi ya miaka 20 ijayo.

Putin hana uhakika kuwa salama hadi muda huu na ujao.

Tusubiri na tuombe uzima...nahisi Nato wako bega kwa bega na Wegner
Hizi habari mlisema wakati operation inaanza, lakini matokeo mliyaona. Urusi sio zimbabwe ilo lazima mlijue.. sasa kama Nato ameshindwa, wataweza Wagner? Vituko hivi
 
Lukashenko amekimbilia Uturuki, Medvedev na familia yake wamekuwa evacuated kutoka Moscow, Putini ameelekea St Petersburg na wanajeshi wengi wa Urusi wanaungana na Wegner tuendelee kula mtori nyama zipo chini;

Ila imekuwa ghafla sana tofauti na matazamio.So sad
Sad indeed....
 
Mkuu ni kweli?
 
Hii mm nilihisi kuna siku tu kwa sababu hao WAHASI wako kipesa maana yake Dau likipanda kutoka kwa mtu mwingine anakugeuka tu kwa PESA.
Pia siku zile za katikati kiongozi wa WAHASI alilalamika kua hana silaha za kutosha anaomba aongezewe kutoka jeshi la PUTIN kosa wakamuongezea SILAHA tena nzito LEO hii kawageuka NaZo na zile alizo chukua Ukraine [emoji1255].PUTIN kazi anayo.
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Hivi wagner unahisi watachukua nchi kweli like seriously [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu usipuuze vita yoyote lolote laweza kutokea, ninaangalia hapa Rostov Qegner hawajapata upinzani wowote, hii inamaanisha jeshi limewaunga mkono.
Uasi huu hatujui nani anawapa kiburi hawa Wegner, muda utasema ukweli
 
Nini kitaitokea Ukraine kama wagner wakaibuka washindi( haiwezi tokea )?
Swali ambalo mnashindwa au mmejiuliza mmeamua kukausha.
 
Naumia shem hujui tu nakuona unavyosherehekea taarifa nitafikisha kwa wazee...
Kwa watawala wa Urusi hakika siwaungi mkono, waliwatesa na kuwaonea raia.
Weger hawaui raia naangalia hapa wakiwa jijini Rostov-on-Don raia wanatembea kwa uhuru, magari wanaendesha pia japo machache
 
Back
Top Bottom