Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Ni ngumu saana kuuwawa pia manake anajua inside out ya Putin, pia nahis kuna backup ya west na ahadi nyingi, naona washadondisha helicopter ya russia kule
This was likely to happen nchi za magharibi waungane na America halafu washindwe kuja na strategies za kumhujumu Mrusi? Halafu ninachoamini ni kwamba Warusi wengi wamechoshwa na utawala wa miongo kadhaa wa Puttin...
 
Nduli putin apigwe ,ang'olewe mbupu kwa kigae cha chupa ,atobolewe macho ,atundikwe msalabani, aliwe kiboga na anyongwe hadharani uchi wa mnyama .
 
Ohoooo dimbwi limeingia luba...
 
Tusubirie, lakini kama Biden atajidanganya agombee tena ninakuhakikishia mapema saa 3 Trump atashinda
Trump ni muoga asiye na maamuzi, katika utawala wake angekutana na hili sakata angekwisha wauza Ukraine.

Ni mtu fulani hivi ambaye haaminiki wala kupaswa kupewa mamlaka ya kushikilia vitu vya siri.

Biden anaweza asipendwe kwasababu ya kuiumiza nchi kwa kuifadhili Ukraine, lakini sio dhidi ya Trump.

Trump ni very trash
 
Wegner kama Wegner hawwezi kuwa washindi Russia, isipokuwa wakipata sapoti kwa waasi wapya jeshi la Russia.

Kuhusu nini kitatokea Ukraine, sidhani kama kutakua na sababu kuendeleza mgogoro, isitoshe walipigana kama kazi na sio vinginevyo
Kama kuna support Wagner watapata basi ni kutoka Russian nationalists ( who are more hostile towards Ukraine).
Hakuna happy ending Upande wa Ukraine.
 
Kuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Hiyo ni vita ya ndani na zaidi wakikamata kambi hawapati upinzani bali wanaungwa mkono.
Unataka atumie ndege kujipiga?
 
Huyu lazima awe na Javeline na Manpad, atasingizia kaziiba Ukraine. Hizi ngoma ni hatari kwa tanks na helkopta.
 
Huyo siyo Jasusi, ni mpenzi wa vitabu vya Wille Gamba
 
kwa ambao hawa mjui Prig

PRIGOZHIN

- Born 1st June, 1961 in Leningrad.

- In 1981, sentenced to twelve years imprisonment for robbery and fraud.

- Began selling hot dogs in 1990 after early release from prison.

- Expanded business operations in 1995, ran popular and successful restaurants.

- Grew closer to Putin in the 2000s, served international leaders including Chirac and George Bush.

- Became known as "Putin's chef", had received government contracts and grew increasingly wealthy.

- Established Wagner Group in 2014 to support Russian forces in the war in Donbas.

- Operations expanded to Syria and Africa, became key player in 2022 Ukraine War.

- His troops led successful campaign to take Bakhmut earlier this year.

- Now leaving rebellion against Putin and Russia's military.
 
Waziri mkuu wa Italia Giorgia Meloni ,amesema ,hatua ya wapiganaji wa Kirusi, Wagner kuteka makao makuu ya jeshi na miji miwili nchini Urusi, ni ishara ya uwepo wa ugomvi ndani ya utawala wa Moscow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…