Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Waziri mkuu wa Italia Giorgia Meloni ,amesema ,hatua ya wapiganaji wa Kirusi, Wagner kuteka makao makuu ya jeshi na miji miwili nchini Urusi, ni ishara ya uwepo wa ugomvi ndani ya utawala wa Moscow.
mazuzu mtaambiwa mengi
sana.na.western
 
Kwenye Ujasusi kuna watu hatari sana ambao kazi yao ni kuzigeuza akili za watu tu. Ogopa sana hao watu.
 
Duh!...yaani Supa-pawa anapigwa na kampuni iliyosajili wafungwa ?..😂😂

Warusi weusi soma hiyooooooooooo....😂😂😂

TUJITEGEMEE FRANC THE GREAT lee van cliff Moronight walker
Niko busy kidogo ila nasubiri kuuona msafara mwingine wa viongozi wa Afrika ukielekea Urusi kutafuta suluhu kati ya Prigozhin na Putin/Shoigu/Gerasimov.

By the way, msimamo wangu kuhusu Urusi na uvamizi wake nchini Ukraine ni uleule, haujabadilika!
 
Anaingiaje Rostov wakati ishazungukwa?

Rostov ni Makao ya Jeshi makubwa na iko mpakani na Ukraine, wao watapitia wapi kuingia Rostov?

Silaha watapata wapi wakati Rostov ndo kitovu cha kusambaza silaha?
Mimi nashanga kwanini mnawaogopa hao wagner subirini kidogo tu mtajua kuwa wagner si chochote kwa urusi ....kinacho ogopwa ni kupata ushawishi wao kwa jeshi
 
Mimi nashanga kwanini mnawaogopa hao wagner subirini kidogo tu mtahua kuwa wagner si chochote kwa urusi ....kinacho ogopwa ni kupata ushawishi wao kwa jeshi
Mkuu adui aliyeko kwako alafu ni jirani ama mtoto wako ni hatari sana. Ukraine mambo ilikuwa hivi hivi kwamba tusubiri mapaka hali ilivyo sasa. Ujasiri wa Wagner kutangaza uasi sio jambo la kuchukulia poa hata kama wasingepigana Russia.
 
Mkuu adui aliyeko kwako alafu ni jirani ama mtoto wako ni hatari sana. Ukraine mambo ilikuwa hivi hivi kwamba tusubiri mapaka hali ilivyo sasa. Ujasiri wa Wagner kutangaza uasi sio jambo la kuchukulia poa hata kama wasingepigana Russia.
Usijidanganye labda waungwe mkono na jeshi kamwe wagner awawezi kitu chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…