PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Lilitegemewa sana hilo mkuu. Ngoma nyingine usije ukashangaa ikianza kulia huko ChechniaHili la wegner halikutegemewa kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lilitegemewa sana hilo mkuu. Ngoma nyingine usije ukashangaa ikianza kulia huko ChechniaHili la wegner halikutegemewa kabisa.
Ha ha haaaa! Karibu Mkuu.Duh!...yaani Supa-pawa anapigwa na kampuni iliyosajili wafungwa ?..😂😂
mazuzu mtaambiwa mengiWaziri mkuu wa Italia Giorgia Meloni ,amesema ,hatua ya wapiganaji wa Kirusi, Wagner kuteka makao makuu ya jeshi na miji miwili nchini Urusi, ni ishara ya uwepo wa ugomvi ndani ya utawala wa Moscow.
Chenchen soldiers wanaingia Rostov mda huu kupigana na Wagner.Lilitegemewa sana hilo mkuu. Ngoma nyingine usije ukashangaa ikianza kulia huko Chechnia
very poor strategy...wamewekwa.akiba.endapo.suala.litaingiliwa.na.majeshi.ya
NATO.na.kuwa.vita.rasmi
Kwenye Ujasusi kuna watu hatari sana ambao kazi yao ni kuzigeuza akili za watu tu. Ogopa sana hao watu.Yapu,ndo alikuwa muonja chakula kabla Putin hajakula.Walisafiri wote mara kibao.Mpaka leo migahawa ya Prigozhin ndo inahudumia Kremlin. Na huku Africa Wagner anashikilia baadhi ya nchi kwa mkono wa Putin. Sasa hapo ninajiuliza ina maana Prigo anaitamani nafasi ya Putin?
Aisee, tupe update. Moscow Leo chai haipiti mdomoniChenchen soldiers wanaingia Rostov mda huu kupigana na Wagner.
Never trust a Jew.....
Chechen wanatafuta pa kuanzia, huko kote wanazunguka. Ingawa ni wachekeshaji tu. Maana tangu walipotuaga kuwa wanakwenda kufunga Ramadhan wakimaliza wanarudi ndiyo ikawa kimoja.Chenchen soldiers wanaingia Rostov mda huu kupigana na Wagner.
Niko busy kidogo ila nasubiri kuuona msafara mwingine wa viongozi wa Afrika ukielekea Urusi kutafuta suluhu kati ya Prigozhin na Putin/Shoigu/Gerasimov.Duh!...yaani Supa-pawa anapigwa na kampuni iliyosajili wafungwa ?..😂😂
Warusi weusi soma hiyooooooooooo....😂😂😂
TUJITEGEMEE FRANC THE GREAT lee van cliff Moronight walker
Mimi nashanga kwanini mnawaogopa hao wagner subirini kidogo tu mtajua kuwa wagner si chochote kwa urusi ....kinacho ogopwa ni kupata ushawishi wao kwa jeshiAnaingiaje Rostov wakati ishazungukwa?
Rostov ni Makao ya Jeshi makubwa na iko mpakani na Ukraine, wao watapitia wapi kuingia Rostov?
Silaha watapata wapi wakati Rostov ndo kitovu cha kusambaza silaha?
Hawana mambo mengi, wanasonga na Semi😃Msafara wa wapiganaji wa Wagner kuelekea Moscow. View attachment 2667304
Mkuu adui aliyeko kwako alafu ni jirani ama mtoto wako ni hatari sana. Ukraine mambo ilikuwa hivi hivi kwamba tusubiri mapaka hali ilivyo sasa. Ujasiri wa Wagner kutangaza uasi sio jambo la kuchukulia poa hata kama wasingepigana Russia.Mimi nashanga kwanini mnawaogopa hao wagner subirini kidogo tu mtahua kuwa wagner si chochote kwa urusi ....kinacho ogopwa ni kupata ushawishi wao kwa jeshi
Mm sikulitegemea boss. Kwamba kikosi kinachoipigania Urusi Ukraine kiasi na kuteka miji Urusi? Limenishangaza mno.Lilitegemewa sana hilo mkuu. Ngoma nyingine usije ukashangaa ikianza kulia huko Chechnia
Wameshashaanza kukimbia nchi.Ndege iliyombeba raia wa Beralus Lukashenko imewasili nchini Uturuki. Lukashenko anahofia usalama wake mara baada ya wapiganaji wa Wagner wakiripotiwa kuelekea Moscow. View attachment 2667305
Usijidanganye labda waungwe mkono na jeshi kamwe wagner awawezi kitu chochoteMkuu adui aliyeko kwako alafu ni jirani ama mtoto wako ni hatari sana. Ukraine mambo ilikuwa hivi hivi kwamba tusubiri mapaka hali ilivyo sasa. Ujasiri wa Wagner kutangaza uasi sio jambo la kuchukulia poa hata kama wasingepigana Russia.
Nayaelewa maumivu unayoyapitia, nakuelewa sana.Usijidanganye labda waungwe mkono na jeshi kamwe wagner awawezi kitu chochote