Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

No resistance imetokea.....
Then mbona unareport as if ni live coverage?
Rostov ni mchana saiv sio Usiku.
 
Prigozhin kacharuka!
 
Jasusi mbobezi wa Kimataifa. Mtaalamu wa Vita na Diplomasia. Mwanasiasa Mkongwe na Mwanamikakati anaweza kutuelezea zaidi hii Mbinu wanayotumia Russia kitaalamu inaitwaje.

Hii Warussi wame bwinu mbwinu mpya ya kivita kuwachanganya Ukraine na Mabeberu. Wataenda kupokea kipigo kikali. Ina jina lake kitaalamu na Yericko Nyerere anaweza elezea hii kwa kina mkamwelewa.
 
Soon utasikia stori tofauti na hizo ni suala la mda hamna mjinga wale wanaelewana tu.
 
Kuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Rostov ndiyo main ya Russia supply kwenda Ukraine

Rostov imechukuliwa na Wagner

Putin kwa maneno yake mwenyewe kasema Rostov hali ni ngumu sana

We unatokea huko ulipo unasema watakosa silaha
 
Huu mpango umesukwa na West na kwa hakika Kuiangusha Russia ni pigo kwa Dunia nzima tutaambiwa tuwr mashoga woote ....naamini West watatumia vizuri ssna huu mtego kuishambulia Urusi vikali sana na hivyo hata jaribio la kumuua Putin litafanywa na ikiwezekana watamuua hapa hapa katika huu mzozo..Sioni kama Putin atanusurika na hili. MASHETANI yanatuumiza kwa kuisambaratisha Urusi..dah hii ni jambo baya sana...
 
Ni ngumu saana kuuwawa pia manake anajua inside out ya Putin, pia nahis kuna backup ya west na ahadi nyingi, naona washadondisha helicopter ya russia kule
Hapo ukute keshawapa Ukraine coordinates za kambi za Russia ni swala la muda tu yale tuliyokuwa tukiambiwa kuwa Russia hatakuwepo Crimea mwisho wa mwaka kutokea.

Wagner wakipata nafasi hadi kesho itabidi wanajeshi watolewe Ukraine warudi Russia kupigana vita ya wenyewe kwa wenyewe
 
Wakati tunaendelea kufuatilia Wasafi TV wakitujulisha yanayojiri huko Dubai tukumbuke pia huko Duniani mambo ni Mengi

Kikosi cha Wagner huko Urusi ambacho kimeasi kimedai kitaingia hadi Moscow na kuung'oa Utawala wa Wala Rushwa na Mabazazi wa Rais Putin

Mh Prigozhin ambaye ni mkuu wa Wagner group amesema Putin atajua hajui

Sabato njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…