Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walahi akitoka kwenye bunker watamgeuza qibla.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] putin aje bongo tumpe hifadhi
Wagner is a military force of 25k to 50k max. The Russian military is 1 M+ with an air force. If Putin wants to stop Wagner, he willThe Wagner private military group claims to have taken control of key military facilities in two Russian cities, Rostov-on-Don and Voronezh.
Follow live updates:
No resistance imetokea.....Mapigano ya kwanza yameripotiwa kati ya wapiganaji wa Wagner na jeshi la Urusi katika mji wa Rostov. Wanajeshi wa Urusi walikuwa wameweka vizuizi vya barabarani lakini Wagner wamesambaratisha vizuizi hivyo. Wanajeshi 38 wa Urusi wamejisalimisha kwa wapiganaji hao. View attachment 2667271
Prigozhin kacharuka!Msafara wa kijeshi wa kwanza wa wapiganaji wa Wagner ukianza kutoka mji wa Rostov kuelekea Moscow. Mkuu wa Wagner amesema kwamba watapiga na kuharibu na kuchoma moto chochote kitakachojaribu kuwazuia katika safari yao ya kuelekea Moscow. Amewataka raia wa Urusi kuwa watulivu na kukaa kwenye majumba yao. Pia amewataka wanajeshi wa Urusi kuweka chini Silaha zao kwani hawana nguvu za kupambana na wapiganaji wake. View attachment 2667266
Jamaa alikua mpishi wake nasikiaKama ni kweli,hawezi chomoka. MAANA Prigo anamjua Putin kuliko mtu yeyote yule.Unless Prigo auwawe.
Soon utasikia stori tofauti na hizo ni suala la mda hamna mjinga wale wanaelewana tu.Mbwa kala mbwa. Putin alitishia kutumia nyuklia, hakujua mchezo unaweza ukachezwa ndani kwa ndani, sasa humo ndani hawezi akatumia nyuklia.
======
View attachment 2667279
President Vladimir Putin vowed Saturday he would not allow Russia to slip into civil war, after the leader of the Wagner mercenary force seized a key military headquarters overseeing the offensive in Ukraine.
The rapidly moving events mark the most serious challenge yet to the Kremlin chief's long rule and Russia's most serious security crisis since he came to power in late 1999.
Wagner chief Yevgeny Prighozin said his troops had taken control of the military command center and an airbase in the southern city of Rostov-on-Don, and vowed to topple Moscow's top military leaders.
Responding in a televised address, Putin slammed his former ally — whose private army provided some of the most successful shock troops in Moscow's offensive in Ukraine — for a "stab in the back" that posed a threat to Russia's very survival.
"Any internal turmoil is a deadly threat to our statehood and to us as a nation. This is a blow to Russia and to our people," Putin said.
"This battle, when the fate of our people is being decided, requires the unification of all forces."
"What we have been faced with is exactly betrayal. Extravagant ambitions and personal interests led to treason," Putin said, referring to Prigozhin, who built a powerbase as a catering contractor to the Kremlin, and now runs a powerful private military force.
"All those who consciously stood on the path of betrayal, who prepared an armed rebellion, stood on the path of blackmail and terrorist methods, will suffer inevitable punishment, before the law and before our people," Putin vowed.
The Russian president's speech came shortly after Prighozin posted a message of his own, apparently filmed in Rostov-on-Don, accusing the Russian military leadership of betrayal and failure in the ongoing battle against Ukrainian forces.
"A huge amount of territory is lost. Soldiers have been killed, three, four times more than what it says in documents shown to the top," he said, accusing military commanders of hiding the true scale of Russian losses in Ukraine from the Kremlin.
"Military sites in Rostov, including an aerodrome, are under control," he said, adding that warplanes taking part in the Ukraine offensive "are leaving as normal."
The Moscow Times
Yapu,ndo alikuwa muonja chakula kabla Putin hajakula.Walisafiri wote mara kibao.Mpaka leo migahawa ya Prigozhin ndo inahudumia Kremlin. Na huku Africa Wagner anashikilia baadhi ya nchi kwa mkono wa Putin. Sasa hapo ninajiuliza ina maana Prigo anaitamani nafasi ya Putin?Jamaa alikua mpishi wake nasikia
Rostov ndiyo main ya Russia supply kwenda UkraineKuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Unateport ukiwa wapi?Telegram?Helikopta ya jeshi la Urusi iliyotaka kushambulia msafara wa Wapiganaji wa Wagner imetunguliwa na kuwaka moto chini. Rubani 2 waliokuwa wakiendesha ndege hiyo wote wamekufa.
Naona wamedungua hadi sasa ndege 5The Wagner private military group claims to have taken control of key military facilities in two Russian cities, Rostov-on-Don and Voronezh.
Follow live updates:
Mwamba huyu hapa. Atawachapa sana Western. Vibaya sana. Hapa ame jidisguise huwezi mtambua. Alikuja bongo akaa na Wamasai mwezi mzima bila watu kujuaPutin namkubali Sana hashindwi kirahisiView attachment 2667267
Hapo ukute keshawapa Ukraine coordinates za kambi za Russia ni swala la muda tu yale tuliyokuwa tukiambiwa kuwa Russia hatakuwepo Crimea mwisho wa mwaka kutokea.Ni ngumu saana kuuwawa pia manake anajua inside out ya Putin, pia nahis kuna backup ya west na ahadi nyingi, naona washadondisha helicopter ya russia kule
Jibu la haraka hata mimi naona hivyoYapu,ndo alikuwa muonja chakula kabla Putin hajakula.Walisafiri wote mara kibao.Mpaka leo migahawa ya Prigozhin ndo inahudumia Kremlin. Na huku Africa Wagner anashikilia baadhi ya nchi kwa mkono wa Putin. Sasa hapo ninajiuliza ina maana Prigo anaitamani nafasi ya Putin?