Unawaza kufirw@ tu
Prigozhin in audio message: To avoid bloodshed we are returning our convoys to bases.Kuteka jimbon, hv unalijua jimbo ?
Tumia akiliUmeelewa swali au unajizima data ? Ubora wa jeshi la Urusi umejidhihirisha leo ? urusi sio wa kuomba majadiliano kbs
Jimbo la nani?Propaganda kupoteza jimbo?
Umefurahi enhPrigozhin in audio message: To avoid bloodshed we are returning our convoys to bases.
Mchezo umeishaisha, turudini Donbass
Hivi unafikiri wakizitaka hizo ndege hawazipati?Kuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wateke nani hilo Jimbo?Ndo wateke jimbo kiulain , hata Rwanda hawapo hivyo
Hahaha nyie watoto nyie... tulieniInasemekana Wagner hawajaongea na Lukashenko.
Belarus wametumika kuwachanganya Wagner
Prigozhin hajaongea lolote kuhusu makubaliano
Jimbo la nani?
Ushawahi kuona uasi unafanywa na mgongo wa chura na zile kombi za kizamani. Huku wakiwa na tuvifaru twa kizamani kabisa.Umefurahi enh
pro ukraine tunapita kwa kusonya,lol
Aliyeomba nani? Yaani kikundi cha WAGNER kiwatishie RAF? we jamaa tumia akili yako vizuri. Hao WAGNER hata kubattle na CHECHEN hawawezi.Kwann mmeomba usuluhishi , mbona hapo awali Putin aliongea kwa mikwala ? Leo kwann aombe usuluhishi kama hao hawana silaha ?
Mkuu wewe una ngozi ya blue?, au ndo nyani haoni kundule πngozi nyeusi bhna tabu tupu kazi kupiga kelele kushadadia mambo yasiyo wahusu,mara cjui putin atakoma sijui wagner kafanyaje upuuzi mtupu.
badala muangalie ya nchini kwenu kazi kuleta ujuaji thats why i sayed black people waliumbwa kwa majaribio ndo zikaja race nyingne uwezo wenu wa kufikiri ni poor
Wameona mselelekoYaani Kuna watu walikimbia jukwaa ila Leo wamerudi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]