Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Wamesitisha mapigano
Leteni propaganda zote lakini wagner kesho wako Moscow
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leteni propaganda zote lakini wagner kesho wako Moscow
Kwann mmeomba usuluhishi , mbona hapo awali Putin aliongea kwa mikwala ? Leo kwann aombe usuluhishi kama hao hawana silaha ?Ukweli ni kwamba wasingefanya chochote kile. Jeshi ni Silaha, silaha zote za WAGNER wanapewa na PUTIN afu uanze kuwatisha? Tumieni akili hizo.
Wanatest mitambo , udhaif ushaanza onekana , WEST wana view ya kuona mbali sanaNgoja nikaendelee kubeti. Progi sijui amenihuzinisha mbwa yule
Kumbe hawa jamaa wanaijui Russia vilivyo, wanaungwa mjono na baadi ya wanajeahi piaNa uko rostov walikoteka ndo ilkua kambi kuu inatosambaza silaha zote zinazopelekwa Ukraine[emoji26]
Unayoayaongea yana akisi kilichotokea leo ?Kama mimi ni mtoto subiri muda utaongea mimi nakuambieni hao wagner wakitifuana na jeshi la urusi ndiyo mwisho wao watachukua siku 3 tu na waliobaki wote wata jisalimisha
Je Wagner wataondoka Rostov?
Putin lazima awakaange haswa, watajuta kumfahamu Putin
Na wameteua na mkuu wa mkoa sio 😂😂, Pro Nato bana. Ivi umeuona ata usiku mwema(Umekula) mkuu 🙄😂Huoni udhaif wq jeshi lenu mnaliita superpower ? Yaan wagner wameteka hadi jimbo
Bila kuomba suluhu basi Prigo keshi angekuwa Moscow tyrHuyo umbwa achana nae kazi imeisha mkuu prigo mwezi wa nane anaenda kuwazalisha hao kwao
Unayoayaongea yana akisi kilichotokea leo ?
Bishana na ukwel sasaNa wameteua na mkuu wa mkoa sio [emoji23][emoji23], Pro Nato bana. Ivi umeuona ata usiku mwema(Umekula) mkuu [emoji849][emoji23]
Asante sn kwa updates....[emoji1431]Wapiganaji wa Chechen na magari yao ya kijeshi wamefanikiwa kuingia katika mji wa Rostov uliopo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa Wagner PMCView attachment 2667535
Umeelewa swali au unajizima data ? Ubora wa jeshi la Urusi umejidhihirisha leo ? urusi sio wa kuomba majadiliano kbs
Lakini Boss si tulikubaliana leo mnapindua nchi au 😂🙄😂Umeelewa swali au unajizima data ? Ubora wa jeshi la Urusi umejidhihirisha leo ? urusi sio wa kuomba majadiliano kbs
Dah![emoji26]BREAKING NEWS
Wapiganaji wa Wagner wamefanikiwa kuingia viunga vya jimbo la Moscow. Imebaki masaa 2 wafike ndani ya jiji la Moscow. View attachment 2667544
Huo ni mtazamo wako weweUmeelewa swali au unajizima data ? Ubora wa jeshi la Urusi umejidhihirisha leo ? urusi sio wa kuomba majadiliano kbs
[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha utotoni,kupingulua urafikiWamepingulua urafiki
Dah! Kwaiyo Wagner watakua na airsupport[emoji26][emoji848]Wapiganaji wa Brigade ya anga 217 ya jeshi la Urusi wametangaza kuwa upande wa wapiganaji wa Wagner dhidi ya jeshi la Urusi.
Sahii kabisa,Inside job well planned
Shoigu akiwa mtu kati