[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikuwa mafichon?Amegeuza msafara! Leteni habari nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikuwa mafichon?Amegeuza msafara! Leteni habari nyingine.
Wagner nao wapuuzi tu, yaani wamekaribia kabisa wanakubali weka mikono chini, wacha washughulikiwe sasa
Ila kweli wapuuzi. Wanapumzikaga vitaWagner nao wapuuzi tu, yaani wamekaribia kabisa wanakubali weka mikono chini, wacha washughulikiwe sasa
Ndo mmetoka mafichon ? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe hampend maumiv?Wachambuzi wa kibongo mnaweka wapi Sura zenu sasa?
Serikal yenu ingekaa kimya mkaona yanayojir sasaNarudia tena ni mjinga tu anayeweza kufikiri kwamba hawa jamaa wanauwezo au nia ya kumtoa putin.walikuwa na mambo yao walitaka wasikilizwe na serikali.
Kafanya niniBiden is geneuos aongezewe miaka 4 Tena.
Ndo umetoka mafichoni ? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Russia wanajua kucheza na akili za mashoga Leo nadhani wengi hata pampas walisahau kuvaa.
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Ni kosa kuamini kauli za watu wanafiki na waongowaongo vitani. Ukishakuwa muongo ni milele hiyo, ceasefire na retreats huwa zinatangazwa mara nyingi vitani na bado kuna tukio linasababisha waibue mapigano tena. Ni kusubiri mpaka control kamili iwepo ndio kushangilia kuanzeAmegeuza msafara! Leteni habari nyingine.
Kwangu naona ni kama drama,Ila bado,Prigo anasema kapumnzika.Kuna mengi yatatokea.
Hili lilikuwa chezo wanatuchezea wapuuzi Hawa, haiwezekani watu wateke Kambi ya kesho bilakufa mtu hata mmoja walakurushiana risasi, alafu eti watu wapo road na msafara wa magar ya jeshi wanakuambia wanakuja kumla kichwa Rais wa nchi mnawangojea mji mkuu ndio mpambane nao haingii akilini.Taarifa iliyotolewa na Yevgeny Prigozhin ambaye ni Mmiliki wa Jeshi hilo Binafsi, imeeleza kuwa wanachukua uamuzi huo baada ya kuzungumza na Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko.
Hatua hiyo imekuja wakati Jeshi la Wagner likiwa jirani kwa Kilomita takriban 300 kuingia Mji Mkuu wa Moscow yalipo makazi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
Kwa mujibu wa Vyombo vya Habari vya Kimataifa, Rais Putin anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kwa utawala wake wakati huu kuliko kipindi chocho.
===========
Wagner chief Yevgeny Prigozhin says he ordered his mercenaries to halt their march on Moscow to avoid “shedding Russian blood”.
The comments by Prigozhin in an audio message came after Belarus’ leader Alexander Lukashenko said he negotiated with the mercenary boss to stop Wagner’s troop movement.''
Prigozhin said while his men are just 200km (120 miles) from Moscow, he decided to turn them back to avoid to prevent killings.
He did not say whether the Kremlin responded to his demand to oust Defence Minister Sergey Shoigu. There was no immediate comment from the Kremlin.
President Vladimir Putin faced the biggest threat to his rule yet with rebel mercenaries advancing towards the Russian capital after seizing a key military base.
AL JAZEERA
The insurrection reached the brink of major bloodshed, Prigozhin said, explaining that Wagner’s advancing columns will return to their camps “according to plan.”Prigozhin hajaongea lolote kuhusu makubaliano
Uyo kweny prof yako anatambua haki za mashoga , unamshobokea atakubandua tuRussia wanajua kucheza na akili za mashoga Leo nadhani wengi hata pampas walisahau kuvaa.
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Control ya nini?Ni kosa kuamini kauli za watu wanafiki na waongowaongo vitani. Ukishakuwa muongo ni milele hiyo, ceasefire na retreats huwa zinatangazwa mara nyingi vitani na bado kuna tukio linasababisha waibue mapigano tena. Ni kusubiri mpaka control kamili iwepo ndio kushangilia kuanze
Hofu yangu Wagner wasije pata misaada Toka West[emoji26]Mkuu adui aliyeko kwako alafu ni jirani ama mtoto wako ni hatari sana. Ukraine mambo ilikuwa hivi hivi kwamba tusubiri mapaka hali ilivyo sasa. Ujasiri wa Wagner kutangaza uasi sio jambo la kuchukulia poa hata kama wasingepigana Russia.