BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Wawaue kabisa, hawana maanaPrigozhin in audio message: To avoid bloodshed we are returning our convoys to bases.
Mchezo umeishaisha, turudini Donbass
unaona ulivyo ujitambui we unawaza tuu kula,au ndo wale kula kulala na kugongea hela ya bndo kwa dada unakuja kushabikia vitu havikuhusu jfWewe matako kweli. Ngozi nyeusi inaingiaje hapo?
Ni dunia nzima ilikuwa inafatilia hilo jambo.
Kama hujala tafuta hela ule sio unalaum ngozi za watu pumbavu.
Wananchi wa uRusi wanaelewa kwa nini nchi yao ipo vitani. Kinachonishangaza mimi ni hawa Wagner Group kutolitambua hilo.Naifatilia kwa karibu sana hii issue.. tuipw mda ila kuna picha muhimu tumeona.. hakuna uasi kwa wananchi.. kama wananchi wangekuwa OP wangeungana na hawa Wagner. Ila wananchi wametulia zao.
Upo sahihi, King Kong IIIYapu,ndo alikuwa muonja chakula kabla Putin hajakula.Walisafiri wote mara kibao.Mpaka leo migahawa ya Prigozhin ndo inahudumia Kremlin. Na huku Africa Wagner anashikilia baadhi ya nchi kwa mkono wa Putin. Sasa hapo ninajiuliza ina maana Prigo anaitamani nafasi ya Putin?
Haiwezekani.Hao West wanajua Wagner ni wehu kuliko Putin.Hifu yangu Wagner wasije pata misaada Toka West[emoji26]
[emoji28]Wale wa Mbagala ngoja tuachie uzi ili tuwahi nyumbani.
Maana kuna fala ametukosesha penati leo
Wale wacheniya ni wehu zaidi ya wagnerUnaonaje kwa upande wa Wagner, je nao watakimbia?
Wewe mama acha upuuzi kila mtu anashabikia anachopenda kama una stress kalale mbele mother f..ker.unaona ulivyo ujitambui we unawaza tuu kula,au ndo wale kula kulala na kugongea hela ya bndo kwa dada unakuja kushabikia vitu havikuhusu jf
Mbona sasa unabadilisha stori, niamini lipi?Mkuu si ulitoa maoni????? Nina haki ya kukuhoji mkuu au sina???
Wachenchen walitaka wakaliamshe kudadeki nimewakubali hawa jamaaWale wacheniya ni wehu zaidi ya wagner
Wanalitambua sana ndio maana pamoja na kuteka Rostov ila ndege ziliendelea kuruka na kutua kuelekea UkraineWananchi wa uRusi wanaelewa kwa nini nchi yao ipo vitani. Kinachonishangaza mimi ni hawa Wagner Group kutolitambua hilo.
Inashangaza sana.
Unafikiri Russia hajatumia akili kuwaacha wakakamata mji mzima bila kuwazuia?Wagner wametumia akili kubwa sana. Walidanganya kuwa wanaenda mapumzikoni. Misafara yao ikaingia russia bila wasiwasi.
Waliingia Rostov kila mtu akajua wanakuja mapumzikoni kumbe lengo lao ni kuteka ngome kubwa ya kijeshi ya Rostov palipo na kila aina ya silaha kwa ajili ya Uktaine.