Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Wewe matako kweli. Ngozi nyeusi inaingiaje hapo?
Ni dunia nzima ilikuwa inafatilia hilo jambo.

Kama hujala tafuta hela ule sio unalaum ngozi za watu pumbavu.
unaona ulivyo ujitambui we unawaza tuu kula,au ndo wale kula kulala na kugongea hela ya bndo kwa dada unakuja kushabikia vitu havikuhusu jf
 
Naifatilia kwa karibu sana hii issue.. tuipw mda ila kuna picha muhimu tumeona.. hakuna uasi kwa wananchi.. kama wananchi wangekuwa OP wangeungana na hawa Wagner. Ila wananchi wametulia zao.
Wananchi wa uRusi wanaelewa kwa nini nchi yao ipo vitani. Kinachonishangaza mimi ni hawa Wagner Group kutolitambua hilo.
Inashangaza sana.
 
unaona ulivyo ujitambui we unawaza tuu kula,au ndo wale kula kulala na kugongea hela ya bndo kwa dada unakuja kushabikia vitu havikuhusu jf
Wewe mama acha upuuzi kila mtu anashabikia anachopenda kama una stress kalale mbele mother f..ker.

Who are you kupangia watu cha kufanya? Unakaa unalaum rangi za watu
 
Wagner wametumia akili kubwa sana. Walidanganya kuwa wanaenda mapumzikoni. Misafara yao ikaingia russia bila wasiwasi.

Waliingia Rostov kila mtu akajua wanakuja mapumzikoni kumbe lengo lao ni kuteka ngome kubwa ya kijeshi ya Rostov palipo na kila aina ya silaha kwa ajili ya Uktaine.
Unafikiri Russia hajatumia akili kuwaacha wakakamata mji mzima bila kuwazuia?
Akili kubwa sana hiyo Jeshi kukuangalia uchukue mji.
 
Back
Top Bottom