Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Usishangae hao Wagner wako na The US Marine Expeditionary Force nyuma yao na ndio inawafanya wajiamini hivyo.

Putin ni mtoto mdogo sana kwa Marekani and this might be the beginning of the end of his 23 years of his brutal rule.
 
Sikujua kama urusi ninwadhaifu hivi
Akili aliyotumia Putin kutowashumbulia ni kubwa mkuu...kumwaga damu za raia wako, kuharibu nchi yako na kuruhusu vita ya ndani ni jambo baya lisilofaa. Western lazima watakuwa wamemaindi vibaya kwa kitendo cha hao jamaa kurudi nyuma. Binafsi Putin nampa heko kamaliza mambo kwa akili bila kudhuru raia na nchi yake.
 
Unenifumbua macho[emoji848]
 
Umeelewa swali au unajizima data ? Ubora wa jeshi la Urusi umejidhihirisha leo ? urusi sio wa kuomba majadiliano kbs
Mzee alichokifanya Putin kwa Rais/mwanadamu yeyote mwenye akili timamu angekifanya.

Kuna maamuzi/matendo ambayo mazingira na nyakati huyafanya yawe ya kishujaa au ya kipumbavu.

Hakuna mtawala yeyote timamu anapenda maandamano au mapigano yafanyike kwenye ardhi yake hata kama ana jeshi imara kiasi gani sababu huathiri shughuli zote za kimaisha lakini hatari zaidi huwezi jua mwisho wake utakuwaje. Pia uasi mara nyingi huwezi jua wahusika na scale yake ikoje. US na ubabe wake wote, haruhusu vita kupiganwa kwenye ardhi yake.

Russia yuko vitani na Ukraine kwa sasa, itakuwa ni ujuha kuchagua vita na wagner badala ya suluhu ya amani.

Nguzo muhimu ya jeshi ni Military Inteligency unit. Hii brain of jeshi. Muscles bila brain ni ng'ombe. Kazi ya leo Urusi, naona ni ufanisi wa MI ya Urusi.
 
Soldiers of PMC "Wagner" in Rostov are preparing to leave the city and load weapons into cars.

Earlier, the press service of Lukashenka reported that he held talks with Prigozhin, during which agreements were reached. Later, the head of the PMC said that his people would return to their field camps. According to RIA Novosti - in the LPR.

Video by RT military officer Ilya @vasyunin Vasyunin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…