Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa alimaanisha labda ni wazuri wa kukimbia vita au wazuri wa propagandaWagner ni bora kuliko NATO mkuu???? Katika nyanja ipi????? Maana NATO ni muunganiko wa nchi na Wagner ni kampuni ya askari mamluki hawazidi 50,000
Brutal against who?Usishangae hao Wagner wako na The US Marine Expeditionary Force nyuma yao na ndio inawafanya wajiamini hivyo.
Putin ni mtoto mdogo sana kwa Marekani and this might be the beginning of the end of his 23 years of his brutal rule.
Bado masaa mangapi shekhHadi saa 6 watu watakuwa washaingia
Akili aliyotumia Putin kutowashumbulia ni kubwa mkuu...kumwaga damu za raia wako, kuharibu nchi yako na kuruhusu vita ya ndani ni jambo baya lisilofaa. Western lazima watakuwa wamemaindi vibaya kwa kitendo cha hao jamaa kurudi nyuma. Binafsi Putin nampa heko kamaliza mambo kwa akili bila kudhuru raia na nchi yake.Sikujua kama urusi ninwadhaifu hivi
🚮Putin ni mtoto mdogo sana kwa Marekani and this might be the beginning of the end of his 23 years of his brutal rule.
Unenifumbua macho[emoji848]Binafsi naona ni njamaa, maana kabla ya hapo wamekuwa na mgogoro mkubwa sana.
Wagner walimalalamikia kuwa jana Shoigu aliwapiga mabomu, hivyo Wagner wakasema wanaenda mfata Shoigu na mwenzake.
Maajabu walipofika mpakani wakaachwa wakapita hadi makao makuu ya jeshi, wakapateka.
Putin akatangaza kuwa Wagner wamechagua njia isiyo sahihi hivyo wauawe
, Baada ya hapo Wagner imebidi liwalo na liwe ndo maana wakaanza enda Moscow
Cha ajabu hawajashambuliwa hadi wanakaribia Moscow
Na viongozi wengi wameondoka
Mzee alichokifanya Putin kwa Rais/mwanadamu yeyote mwenye akili timamu angekifanya.Umeelewa swali au unajizima data ? Ubora wa jeshi la Urusi umejidhihirisha leo ? urusi sio wa kuomba majadiliano kbs
Mi Niko live, acha uogo[emoji16]Wapo wengi saaana ila toka wagner waliamshe wamekaa kimya, sio kawaida yao kabisa.
Mbinu za kivita hizi,WARUSI WEUSI MNANIANGUSHA KUMBE PUTIN HAPENDEKI NDANI YA URUSI....RIP TARIMO NEMES!!!SI MLISEMA WEST NI UPINDE NA VIPI WAGNER NI UPINDE PIA?????
Yaani kakindu Cha watu 25,000 kashindwe kuzuiwa na jeshi la watu zaidi ya 800k Wagner baada ya kupigana bakhmut Kwa muda mrefu wamekuwa fatique hivyo lazima wakapumzike, ndio maana LINDO walikabidhiana Kwa amani na RF huko UkraineUnenifumbua macho[emoji848]
Endelea kuleta updates....[emoji106][emoji4]Belarus imesema kuwa imeelekezwa na Putin Belarus iwe mediator kati ya Russia na Wagner, kwamba Wagner waweke silaha chini na hawatafanywa lolote lile
Wewe unapinga kwa Data gani ulizoweka!?Nani kakuambia wanajeshi wengi wa urusi wapo Ukraine?weka data
Na hicho ndicho kitakachofata baada ya kufika Moscow,ndo maana hawajazuiwa[emoji4]Inasemekana Wagner wanataka kukaa mezani na Russia wakubaliane