Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Washaelewana,aibu yako mkuu[emoji1787]
 
Propaganda hizo[emoji1787]
 
BREAKING NEWS

Rais wa Beralus Lukashenko amefanikiwa kumshawishi mkuu wa Wagner kuweka chini silaha na kumaliza tofauti zake na jeshi la Urusi. Wapiganaji wa Wagner wamesitisha kuelekea Moscow.
Hii sasa drama
 
Hatimaye nduli anapigwa kutokea ndani😁
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umewahi hata kupitia JKT kaka? Kuna kambi iliwahi kuwa na wanajeshi kufikia 250k huo si mji mzima kaka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 


Wagner wamewamaindi sana hawa jamaa wawili Shoigu waziri wa ulinzi na Gerasimov Chief of General Staff

Wanawalalamikia kwa yale mabomu inayosemekana walipigwa na jeshi la Urusi

Je, jamaa watajiuzulu? Au Putin atawapiga chini? Inasemekana ni mojawapo ya makubaliano kati ya Putin, Lukaschenko na Prigozhin jamaa waondoke madarakani

Lets wait and see
 
Sio rahisi, Wagner wanapigana na Ukraine sio Urusi.....west hawezi kuipa silaha Wagner.
Wahna wangeingia vitani na urusi kanuni ingekuwa hivi.

USA: hello wagner you are now an enemy of my enemy.
WAGNER: of course
USA: can we supply you with little toys to finish that lunatic leader?


Guess what? WAGNER WANGEKUBALI CHAP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…