DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sana mkuu,Hivi uliumia kweli?
Nmesoma jbr jion naenda nyumban,
Mikono ilinitetemeka Ikbd nisimame mahali nitulize kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mkuu,Hivi uliumia kweli?
Prigo sijui kama atakuwa salama, huwezi kumtingisha Putini ukabaki salamaKama Prigozin angetumia njia nyingine kufikisha ujumbe huenda Putin angemsikiliza ila kwa hiki alichokifanya Putin akiwatoa hawa itakuwa ni sawa na amekubaliana na kwamba kila atakae kuwa haelewani na MOD basi njia ni kustage mutiny. Leo wamefanya Wagner kesho wanaweza kuwa Chechens. Sio picha nzuri. Nadhani atawatoa kina Shoigu kwenye nafasi zao ila haiwezi kuwa haraka namna hii
Imeisha iyo[emoji4]Haijaisha tulia
Syria pia battle ilipoingia mjini Chechens wakatumwa wakakipige na waasi mtaa kwa mtaa. Mpaka leo waasi hawaelewi Chechens ni binadamu wa namna gani kwa kilichowakutaWakipewa mission wanakamilisha na kukabidhi, Huoni maripol ilivokubwa kuliko bakhmuti, chap Sana wameiteka yote na kiukabidhi kwa RF, Sahv hamna Vita Tena inajengwa upya[emoji16]
Chechens hawa jamaa hata Putin mwenyewe anawaelewaSyria pia battle ilipoingia mjini Chechens wakatumwa wakakipige na waasi mtaa kwa mtaa. Mpaka leo waasi hawaelewi Chechens ni binadamu wa namna gani kwa kilichowakuta
Syria pia battle ilipoingia mjini Chechens wakatumwa wakakipige na waasi mtaa kwa mtaa. Mpaka leo waasi hawaelewi Chechens ni binadamu wa namna gani kwa kilichowakuta
We jamaa sio kichaa lakini?Fuatilia acha uchawa
Kuna mdau kasema Wagner wamekoseshwa penalty ya wazi after VARUshawahi kuona uasi unafanywa na mgongo wa chura na zile kombi za kizamani. Huku wakiwa na tuvifaru twa kizamani kabisa.
Ile ilikuwa sanaa bro. Dunia iko kasi inabidi jambo ulishabikie baada ya siku mbili sio kichwakichwa. Hahahah
Bulaza poaWapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE.
Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea.
=====
Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia 'mapinduzi ya kijeshi' nchini Urusi kurejesha eneo lililochukuliwa
Katika tishio moja kwa moja kwa mamlaka ya Putin, Yevgeny Prigozhin, kiongozi wa Wagner, aliishutumu jeshi la Moscow kwa kupiga bomu askari wake na kudhibiti jiji muhimu la Urusi mapema asubuhi.
Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali wa jeshi binafsi maarufu zaidi ulimwenguni aliahidi kwenda kwenye mji mkuu kwa kulipiza kisasi.
Katika hotuba isiyokuwa ya kawaida, Bwana Putin alilitaja tukio hilo kuwa "uhaini" na akasema wale wanaounga mkono vitisho na njia za kigaidi watapata adhabu isiyoweza kuepukika.
Rais wa Ukraine, Zelensky, alivunja ukimya na kusema kuwa hii ni mfano mwingine wa "udhaifu kamili wa Urusi".
=====
Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi waagiza watu kubaki nyumbani
Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi walitoa wito kwa watu kubaki ndani ya nyumba zao kwa sababu za usalama.
Walitoa onyo hilo kutokana na ripoti kuwa wapiganaji wa Wagner walikuwa wakitumia eneo hilo wakati wa safari yao kuelekea Moscow.
=====
Wagner wateka makao makuu ya jeshi la Urusi ukanda wa Kusini
Gavana wa Voronezh, nchini Urusi alisema Jumamosi kuwa huduma za dharura zilikuwa zikijaribu kuzima tanki la mafuta linalowaka katika kituo cha mafuta.
Zaidi ya askari zimamoto 100 na vifaa 30 vya kuzimia moto walikuwa wakifanyia kazi katika eneo hilo, alisema Gavana Alexander Gusev kupitia Telegram.
Awali Jumamosi, chanzo cha usalama nchini Urusi kiliiambia Reuters kuwa wapiganaji wa Wagner walidhibiti vituo vya kijeshi katika jiji la Voronezh, umbali wa kilomita 500 (maili 310) kusini mwa Moscow. Reuters hawakuweza kuthibitisha madai hayo.
=====
NDEGE YA RAIS YADAIWA KUONDOKA MOSCOW, WAGNER WAKIDAIWA KUKARIBIA MJI
Inadaiwa Wapiganaji wa Wagner wameendelea na mapambano na sasa wamefika katika Mkoa wa #Lipetsk, takriban Kilometa 450 kutoka Moscow
Aidha, inaelezwa kuwa Ndege za Kivita za Urusi zimeshambulia misafara ya Wapiganaji wa #Wagner na tayari Wanajeshi wameshajipanga katika nafasi za kuulinda Mji Mkuu, Moscow
Kiongozi wa Wagner, Yevgeny #Prigozhin amedai kuwa Wapiganaji wake wamepokelewa kama 'Wakombozi' na kuwa waliweza kuchukua Makao Makuu ya Kijeshi huko #Rostov bila mapigano
Katika hatua nyingine, imeelezwa kuwa Ndege ya Rais imeonekana kuondoka #Moscow, hata hivyo Ikulu imedai kuwa Rais #Putin bado yupo katika Mji Mkuu huo
Wagner wasitisha kwenda Moscow wakidai hawawezi kumwaga damu ya Warusi
Kiongozi wa kundi la Wagner amesema kwenye chanel yake ya Telegram kwamba wamekubaliana kuacha kupeleka vikosi vyake Moscow.
Prigozhin amesema wapiganaji wanarejea kwenye kambi za Ukraine na hawataki kumwaga damu za warusi.
Makubaliano ya ghafla ya kuondoa hali ya sintofahamu yanakuja baada ya kiongozi wa Beralus, Alexander Lukashenko kufanya maongezi na Prigozhin kulingana na channel ya Kirusi ya Rossiya 24
Unakutana nao wapi hao mashoga? Badili vijiwe vyako.Yanaletwa na chuki yangu kwa Mashoga na watetezi wa upinde[emoji16]
Wenye akili tuliwauliza vilaza kina HIMARS MTZ 255Dar wakaishia kusema tujikite kwenye mada haya tunasubiri muendelee na mada yenu.Ule wa waasi wengine umeishia wapi wale walioteka Bongrd?.
........ Against his disillusioned people.Brutal against who?
Chechens, yaani yale magaidi.Syria pia battle ilipoingia mjini Chechens wakatumwa wakakipige na waasi mtaa kwa mtaa. Mpaka leo waasi hawaelewi Chechens ni binadamu wa namna gani kwa kilichowakuta
na wapo ndani ya urusi.putin anaonekana ni dhaifu sana.Wamepingulua urafiki
Sijakuelewa bado, Kwahiyo Putin anavyouwa na kumwaga damu zisizo na hatia huwa unapata wakati mzuri sana?Sana mkuu,
Nmesoma jbr jion naenda nyumban,
Mikono ilinitetemeka Ikbd nisimame mahali nitulize kichwa