Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Prigo sijui kama atakuwa salama, huwezi kumtingisha Putini ukabaki salama
 
Hadithi ya Kinyago ulicho kichonga mwenyewe kinaweza kukutisha kweli usiku.

Hakuna Prigozhin, bila ya Putin; yeye ndio kamtengeneza kutoka kuwa mpishi mpaka arms dealer, Putin kapiga nae deal sana za kuuza silaha hadi kufikia kuundwa kwa hilo kundi la marcenary la Wagner.

Mtu kama huyu ana nguvu kweli ya kumletea jeuri Putin. Hiyo cinema tu ya kutafuta wachawi wa ndani.
 
Wakipewa mission wanakamilisha na kukabidhi, Huoni maripol ilivokubwa kuliko bakhmuti, chap Sana wameiteka yote na kiukabidhi kwa RF, Sahv hamna Vita Tena inajengwa upya[emoji16]
Syria pia battle ilipoingia mjini Chechens wakatumwa wakakipige na waasi mtaa kwa mtaa. Mpaka leo waasi hawaelewi Chechens ni binadamu wa namna gani kwa kilichowakuta
 
Syria pia battle ilipoingia mjini Chechens wakatumwa wakakipige na waasi mtaa kwa mtaa. Mpaka leo waasi hawaelewi Chechens ni binadamu wa namna gani kwa kilichowakuta

Naomba nichangia hapa.

Kule Syria kulia na majeshi ya aina mbili.

1. Land Forces
2. Air Forces

Land Force

Land forces ilikuwa inafanywa na Iran Quads Forces.

Air Forces

RF Aerospace Forces ndio walikuwa wana provide Air support
 
Ushawahi kuona uasi unafanywa na mgongo wa chura na zile kombi za kizamani. Huku wakiwa na tuvifaru twa kizamani kabisa.

Ile ilikuwa sanaa bro. Dunia iko kasi inabidi jambo ulishabikie baada ya siku mbili sio kichwakichwa. Hahahah
Kuna mdau kasema Wagner wamekoseshwa penalty ya wazi after VAR
 
Bulaza poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…