Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Vichekesho hivi, sasa NATO na Ukraine wanashindwa nini kuwamaliza hao waliishiwa morali?
NATO hapo inahusikaje?. Vita ni kati ya Ukraine na Urusi. Pia lazima ujue vita ni mipango. Huwezi kumuingia moja kwa moja mpinzani wako ksbb tu umemuona ameishiwa nyimbo,amebaki na ngonjera. Lazima umuingie kwa hesabu.

Pia picha nyingine ya Warusi kumchukia dikteter Putin ni pale vikosi vya Wagner vilipokuwa vinaingia kwenye miji iliyoiteka jinsi walivyokuwa wanashangiliwa. Ule ni ushahidi tosha kwamba unachokifanya Putin unaweza walio wengi hawakubariani nacho.

Kitu kingine msichokijua Putin anatamani sana kutumia nukrea. Na ndio maana alivyoona anakaribia aliondoka kwenda chini ya ardhi na taarifa NATO pia wanaweza wakawa wamehusika kumshawishi jamaa asitishe uasi ksbb tayari waliona hatari Putin anachotaka kukifanya
 
Mheshimiwa PUTIN amechukua full comedian ya Zele, Hamna kitu kama hicho , Kwa Russia wanajeshi 25 elfu wakapambane na wanajeshi Milioni 2, Kuna mchezo mchafu wanacheza PUTIN na Mkuuu wa WAGNER ambao Mimi na wewe hatuujui .Hata mtoto wa kindergarten anajua hayo ni maigizo ya Pagu na Pwaguzi .
 
Hali ilikuwa Tete kwa Warusi.Walichimba barabara kuzuia Wagner wasifike Moscow 🤔
...
 
Hakuna aibu, uasi hautaishia hapo. Putin ameonyesha udhaifu.

Mtu amefanya uasi unatangaza asubuhi kwa dunia, jioni serikali yako inatangaza msamaha kwa waasi.

Na bado hauno tatizo
Na uliabika, tulioelewa kuwa ile ni sinema ni tulikaa kimya.
 

Russia is investigating whether Western intelligence was involved in rebellion, foreign minister says​

From Anna Chernova


Russian Foreign Minister Sergey Lavrov attends a tripartite meeting in Moscow, Russia, on May 19. Russian Ministry of Foreign Affairs/Anadolu Agency/Getty Images

Russian special services are investigating whether Western intelligence services were involved in the events which unfolded in Russia Saturday, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov said in video comments to Russia Today.

Russia often alleges foreign interference in domestic ongoings. Lavrov did not immediately present evidence or further information of that alleged investigation.

However, he noted that the US ambassador to Russia signaled that the US had "nothing to do" with the events.

"And it was especially emphasized: the United States proceeds from the fact that everything that happens is an internal affair of the Russian Federation," he added in a video that was seemingly taped Sunday and released on state-controlled broadcaster Russia Today Monday.

This comes after Wagner founder Yevgeny Prigozhin allegedly incited an armed rebellion, but then stood down and accepted a deal to leave Russia for Belarus, according to the Kremlin.
==========================

Putin anatafuta wakumbebesha lawama.....cha ajabu Warusi wa kivule wanasema ule 'uasi' wa Wagner ulikuwa mchezo wa kuigiza.
 
Prighozin did a very big mistake...

Matokeo ya kuung'ata mkono unaokulisha ni mabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…