Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I cant disclose that information.Mkuu sawa, Airport ipi na ukampeleka wapi na alikuja kufanya nini
Tufanye tu Mungu aliprint Quran mbingu ya Saba akamshushia Mudi mpaka akachapwa makofi....kuelewaHahahaha umesema Muhammed katunga sawa kwa Iman yako je kati ya Muhammad na Wasomi wa sasa yupi mwenye elimu zaidi au elimu aliokua nayo Muhammed kipindi hiko ya kutunga je inazidi wasomi wa sasa ?
Hiyo shughuli yao,hasa Marekani ilikua swala la muda tu.Usikute kila hatua wanayopiga NATO ndio wapo nyuma yao, hapana sio nyuma yao. Wapo mbele yao.
Mkuu kwanini vijana wengi pamoja na kupondea marekani ila wanataka kuja huko mkuu???
Sio kweli ni wachechnia walewale. Hao wana asili ya ugaidi na hilo liko wazi kabisa.Hao wanahusiana nini na hawa kadyrovities kwanza hawapatani, na hawa ndio waliofagia magaidi wote.
Ni sawa na Kusema kila mcolombia ni Kingpin.
Mchambuzi mwenye mahaba na PutinJasusi mbobezi wa Kimataifa. Mtaalamu wa Vita na Diplomasia. Mwanasiasa Mkongwe na Mwanamikakati anaweza kutuelezea zaidi hii Mbinu wanayotumia Russia kitaalamu inaitwaje.
Hii Warussi wame bwinu mbwinu mpya ya kivita kuwachanganya Ukraine na Mabeberu. Wataenda kupokea kipigo kikali. Ina jina lake kitaalamu na Yericko Nyerere anaweza elezea hii kwa kina mkamwelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo uzi uendelee au ufutwe?
Vikosi vya Wagner na silaha zao vimehamishwa kijanja kuelkea Belarus ili vipate urahisi wa kuingia kushambulia KievEbu fafanua jirani @ DeepPond
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sahv wamekimbia ndukiJana tumeshuhudia members wote 30 wa nato ndani ya Jf na washirika wao wengine zaidi ya 25 wakiwa active kwenye uzi wakimsupport Prigo mzee wa gomba. Hadi mu estonia flani aliedai yuko busy shambani jana alikuwa anashusha mchango kila baada ya dk kadhaa[emoji3][emoji3]. Kweli nato Jf ina washirika wengi sana sikutegemea
Hakika[emoji28]Mpango wa putin na Rafiki yake ulikua kulipeleka jeshi la Wagner na silaha zao zote Beralus bila Ukrein kumshambulia na wamefanikiwa.
Sio kwamba mmeachiwa nyie Uzi. Kiuhalisia ile hali aliyoianzisha Prigozhin yoyote yule mpenda amani angeifurahia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sahv wamekimbia nduki
Ndivyo ukkraine walivyoingia mkenge!! Wakaamini morali ya askari wa urusi iko chini kipindi hiki. Japokuwa walikuwa wameanza kusitisha mashambulizi walidhani kuwa huu ndio muda mwafaka kuanza tena mashabulizi kwa nguvu wakati kuna "uasi"!! Wakapeleka askari kibao kufanya mashambulizi!! Kilichowakuta jisomee mwenyewe hapa!Sio kwamba mmeachiwa nyie Uzi. Kiuhalisia ile hali aliyoianzisha Prigozhin yoyote yule mpenda amani angeifurahia.
Zaidi pia nyie Warusi wa kitunda msijifariji kwamba kulikuwa na mipango yoyote kati ya Putin na Prigo. Imejulikana tu dhahiri jeshi la Urusi ni dhaifu. Pia limepoteza kabisa morali ya vita. Wanatamani hata kesho vita uishe.
Putin mwenyewe anaishi kama bundi kwa sasa. Amefanywa kama mkimbizi tu ndani ya nchi yake mwenyewe. Muwe tu wakweli nyie Warusi wa namtumbo,fikiria kutoka kuonekana kama mbabe mpaka kuwa kama ndege kujificha ficha. Hamuamini mtu. Sadam pia alikuwa na mwisho wa namna hiyo.
Ssbabu wanafuga ndevu alafu ni waislam si ndio?? Na hii ndio dhana ya mmarekani aliyoipandikiza kwa mambulula kama nyinyi,,, mtu akiwa na ndevu nyingi pia ni muislam akipigania haki yake basi gaidi,,, rejea wapalestina, Chechnya, r.I.p shujaa wangu hamza..Sio kweli ni wachechnia walewale. Hao wana asili ya ugaidi na hilo liko wazi kabisa.
Wapi uliwaona Ukraine wakishangalia??Kwa taarifa zilizopo wamesitisha uasi, hawaelekei popote.
Binafsi sioni kama ni jambo la kujivunia kwa mrusi yoyote humu sababu mpaka sasa ukweli ni kwamba hakuna anayejua what happened na lile jambo lilikuwa na tafsiri gani. Ukraine nao walipaswa kushangaa kuwa ni nini kinaendelea na si kushangilia. Ila kwa sababu ni uzalendo uchwara ni sawa tu.
UONGO.Wagner wamesema lengo lako ilikuwa ni kuwajua mashabiki maandazi pamoja na maadui wa kweli na wale marafiki wanaa wa Motherland/Fatherland Moscovischt/Russia [emoji23][emoji23][emoji23]
UONGOPutin kacheza mchezo na umeenda kama walivyo panga yeye na Rafiki yake.
Vichekesho hivi, sasa NATO na Ukraine wanashindwa nini kuwamaliza hao waliishiwa morali?Sio kwamba mmeachiwa nyie Uzi. Kiuhalisia ile hali aliyoianzisha Prigozhin yoyote yule mpenda amani angeifurahia.
Zaidi pia nyie Warusi wa kitunda msijifariji kwamba kulikuwa na mipango yoyote kati ya Putin na Prigo. Imejulikana tu dhahiri jeshi la Urusi ni dhaifu. Pia limepoteza kabisa morali ya vita. Wanatamani hata kesho vita uishe.
Putin mwenyewe anaishi kama bundi kwa sasa. Amefanywa kama mkimbizi tu ndani ya nchi yake mwenyewe. Muwe tu wakweli nyie Warusi wa namtumbo,fikiria kutoka kuonekana kama mbabe mpaka kuwa kama ndege kujificha ficha. Hamuamini mtu. Sadam pia alikuwa na mwisho wa namna hiyo.
UONGOMpango wa putin na Rafiki yake ulikua kulipeleka jeshi la Wagner na silaha zao zote Beralus bila Ukrein kumshambulia na wamefanikiwa.